Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania ipo katika zama ambapo Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ni kiini cha mijadala ya Kisiasa, uwajibikaji na matumizi ya haki za kiraia. Takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano...
0 Reactions
1 Replies
199 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Utatu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (SADC Organ...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
1. Kuna mwanaharakati mmoja hivi alijipatia umaarufu sana anaitwa mdude Nyagali AKA SUMU YA NYIGU Alikuwa anajisifu sana kuwa yeye ndo alimnyoa mwendazake na panga bila maji kwa kauli zake...
4 Reactions
90 Replies
2K Views
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka Watanzania kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
2 Reactions
16 Replies
391 Views
Yote niliyotaka kuandika tayari kayasema komredi Jimmy Mafufu. Msanii wa filamu Jimmy Mafufu ameibuka na kukanusha kuomba radhi, akisisitiza kuwa hawakufanya kosa lolote linalohitaji kuombwa...
1 Reactions
42 Replies
975 Views
Ubalozi wa Marekani wamepost kuwa Samia kajadili na kaimu balozi. Je, kunani? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Balozi...
10 Reactions
149 Replies
5K Views
Ukiwasikiliza muda huu wanasema wazi wazi. Wanasema “Leo watu walibanwa ndo maana hajatoka mtu.” Wanajijua wapo wachache mno ila wanategemea vikundi vya watu wasio na hatia waingia na kuleta...
5 Reactions
12 Replies
319 Views
Kanisa Katoliki la Baltimore, Maryland, Marekani (eneo la DMV) siku ya Jumapili, Desemba 14, 2025, limefanya ibada maalum ya kuwaombea mashujaa waliouawa wakati na baada ya uchaguzi Oktoba 29...
2 Reactions
6 Replies
253 Views
Ukimsikiliza mkuu wa machawa mkumbo madelu akihimiza amani, unashangaa. Kunawezekana kuwa na amani bila haki? Je, amani inalazimishwa au inatokana na aina ya maisha ya wahusika? Je, hawa...
2 Reactions
5 Replies
306 Views
25 August 2021 mwamba mmoja aitwaye Hamza Mohammed aliifunga Dar kwa muda wa masaa 3. Akiwa na leso tu ya kujifutia jasho mkononi mwake, aliweza kuwanyang'anya bunduki polisi kisha...
1 Reactions
0 Replies
201 Views
Ni kweli kabisa hakuna kiongozi ambae atakubalika na jamii yote. Ndio maana hata huko USA - Trump kila siku anatukanwa hovyo kama mtoto. Jambo la msingi ni Kiongozi kuwa makini na matamshi...
27 Reactions
75 Replies
2K Views
Sioni shamrashamra tulizozizoea. Kimya ila wingi wa wale kila mahali
7 Reactions
55 Replies
2K Views
UVCCM kimekuwa kikundi hatari sana ndicho kinacho tekeleza operation nyingi za utekaji kikishirikiana na task force. Kikundi cha utekaji kikimtaka mtu huwasiliana na UVCCM wa eneo husika, kwa...
2 Reactions
1 Replies
304 Views
Kama familia inataka autopsy ni haki yao, kama vipi serikali hii haramu isigharamie mazishi ijitoe! Alafu hawa TISS wa Mombo na Abdul ni wajinga sana - yaani mnapeleka watu wenu hadi vikao vya...
25 Reactions
149 Replies
7K Views
Tangu tumepata uhuru zaidi ya hayati Nyerere kupata msukomsuko ule wa 1964 mimi binafsi sijawahi kumsikia mkuu wa nchi yetu akitamka hadharani kuwa watu walitaka kuangusha dola. Utawala wa Hayaji...
3 Reactions
6 Replies
384 Views
Kuna watu wanaabudia wenzao wasijue watakufa siku moja. Tuliyaona wakati wa Magufuli. Sasa tunao machawa. Mungu wao ni mama yao anayewafuga. Je, waliwahi kujiuliza? Akifa itakuwaje? Je, hakuna...
0 Reactions
0 Replies
172 Views
Wakuu habari za mda huu. Kuna kijana mmoja huko TikTok anaitwa Habil & Kabil ukifuatilia video zake na tuhuma anazo toa juu ya Haji Kheir ni nzito sana na za kuogepesha mno. Pia soma: Haji Omar...
9 Reactions
80 Replies
5K Views
Namuulizia huyu jamaa alikuwa maarufu sana alinifanya niwe napenda kumsikiliza muda wote, anayejua habari zake yuko wapi?
6 Reactions
95 Replies
3K Views
Hili suala linaniumiza sana kichwa kila napofikiri. Mwaka 2005 nlikuwa nikifanya masomo yangu udsm wakati ambao kila kona vijana walikuwa na heka heka katika harakati za kuchagua rais. Nakumbuka...
41 Reactions
115 Replies
10K Views
Back
Top Bottom