Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Museveni wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia. Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Museveni mwenyewe...
61 Reactions
694 Replies
72K Views
Friends and Our Enemies , Sote tunajua na tunakubali ya kwamba zile fujo na vurugu zilizotokea tareh 29.10.2025 zilihamasishwa na kupangwa na makundi mbali mbali kama TEC na wanasiasa kama Lisu...
0 Reactions
65 Replies
1K Views
Kumekuwa na taarifa za watu kupotea tangu 29/10/2025 na 31/10/2025. Kila mtu anasema lake, serikali iko kimya, na baadhi ya watu wanadai kupotelewa na ndugu zao. Je, nini kifanyike. 1: Serikali...
2 Reactions
26 Replies
476 Views
Serikali nzima imekosa watu wa kuwapa hii kazi ya kufanya propaganda hadi wamuachia Waziri Mkuu? Hivi hii ndo hadhi ya Waziri Mkuu kweli? Ndio uwaziri mkuu umefikia hapa siku hizi? Huo ni mtazamo...
7 Reactions
16 Replies
441 Views
Mpo salama! 1. Moja ya mambo niliyofunzwa na niliyojifunza ni pamoja na suala zima la Heshima. 2. Heshima binafsi na kuheshimu wengine pasipo unafiki. 3. Mzee Makamba niliwahi kumsikia akisema...
6 Reactions
16 Replies
419 Views
1. Aliemteua mwenyewe pia hatoshi kwenye hicho cheo. 2. Mwigulu ni bingwa wa kujipendekeza na kulamba viatu. 3. Mwigulu ni "yes man", hana gut ya kuhoji maelekezo yoyote, na viongozi ambao ni...
3 Reactions
6 Replies
383 Views
Sote twafahamu msingi wa taifa hili toka hapo awali nisingependa sana kugusia mambo ya kale japo vya kale ni dhahabu lakini kwa muktadha wa mada hii nitaangazia mambo ya sasa.. Si jambo geni ama...
2 Reactions
13 Replies
383 Views
Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema baada ya kuwatembelea vijana kwenye maeneo mbalimbali amegundua kuwa moja ya changamoto zao ni kutokuwa na taarifa za fursa zinazotolewa na...
2 Reactions
8 Replies
327 Views
### Mambo makuu kumi ambayo kesi ya Tundu Lissu imenifundisha kama Mtanganyika: 1. Udhaifu wa mihimili ya serikali: Kesi hii inaonyesha jinsi polisi, mahakama na upande wa mashtaka vinavyoweza...
3 Reactions
3 Replies
296 Views
Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police. Who are you anaforce aachiwe Jeshi...
34 Reactions
216 Replies
8K Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimewasilisha Shauri la Rufaa Na. 56/2025 katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), kikipinga uhalali wa kuzimwa kwa mtandao kote nchini Tanzania...
3 Reactions
4 Replies
311 Views
Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, emewashangaa wanaharati wanaohimiza watanzania kuacha kusikiliza nyimbo na kuhudhuria matamasha yanayowahusisha wasanii wa Tanzania kwakuwa waliiunga mkono...
4 Reactions
19 Replies
597 Views
Kama mdau wa jukwaa hili muhimu la siasa, unashauri nini kifanyike katika kuwaokoa na kuwanusuru vijana wa kitanzania ambao baadhi yao wamekua waraibu na mateka wa athari za digital sadism...
0 Reactions
71 Replies
710 Views
Taarifa zinaeleza kuwa binti aitwaye fatuma roby marwa (21), mkazi wa mji wa sirari wilayani tarime mkoani mara, ameripotiwa kutekwa leo saa 10 jioni akiwa anatoka sokoni. kwa mujibu wa taarifa za...
4 Reactions
12 Replies
423 Views
Leo (Jana, Desemba 17, 2025) nimemtembelea Mteja wangu Mhe Lissu, Ukonga Gerezani kujadiliana naye hatima ya kesi zinazomkabili, ashukuliwe Mungu kwa kuendelea kumjalia afya na siha njema...
20 Reactions
88 Replies
2K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam imewaruhusu waleta maombi kufungua kesi ya msingi, katika shauri namba 30210/2025 linalohusu kupinga uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
0 Reactions
8 Replies
336 Views
Watanzania Wote Tukatae Ukatili na Tupiganie Haki! Watanzania wenzangu, tunakabiliwa na changamoto kubwa ya usalama na utu wetu. Kikundi cha wauwaji wa CCMwaliotwaa madaraka kwa mtutu wa bunduki...
5 Reactions
9 Replies
301 Views
Najua utasema kuwa kesi iko mahakamani tusiizungumzie. Kesi ya uongo kabisa hata "mjinga" wa sheria analiona hilo! Umezungumzia waliouawa D29?Wanatendewaje haki? Umezungumzia utekaji? Mauaji...
2 Reactions
3 Replies
184 Views
" Watu hawana maji Dar miaka 64 baada ya uhuru, Taifa la tatu kuwa na vyanzo vingi vya maji ni vizuri tukawaambia hawa watu kuwa watanzania si wajinga watanzania wanajua nyie ndio mmeingiza taifa...
8 Reactions
23 Replies
467 Views
waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa mpango wa bima ya afya kwa wote unatarajiwa kuzinduliwa kuanzia mwezi januari 2026, huku akizihimiza hospitali...
1 Reactions
8 Replies
344 Views
Back
Top Bottom