Nakusalimu Mzee,
Ulichokisema siamini kimetokana na umri wako kuwa mkubwa kwamba unapoteza uwezo wako wa kuchanganua mambo.
Ukimuuliza mtanzania yeyote mbali na Hawa wauwaji kwamba siku ya...
Leo asubuhi Lema alitoa ushauri ufuatao wa namna ya kudili na machawa wanajibaraguza wa wanasiasa na kuacha kusimama na wananchi ambao ndiyo nguzo kuu yao:
"Ni rahisi sana kuwaweka CHAWA straight...
Nimeona taarifa ya tozo ya HIV katika ununuzi wa magari, sijui hii tozo kama ilipitishwa na linaloitwa bunge la JMT au hata kama ilipitishwa sijui ni lini kwa sababu nimeacha kabisa kufuatilia...
My people,
Utangulizi:
Kwanza naomba kutoa shukrani zangu za dhati kwa members wote ambao bila kuchoka pamoja na kutukunwa na kurushiwa maneno machafu lakini bado mmesimama imara kupigania kile...
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢, 𝗞𝗔𝗕𝗨𝗗𝗜 𝗪𝗔𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗡𝗔𝗜𝗕𝗨 𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗪𝗔 𝗠𝗜𝗦𝗥𝗜, 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗬𝗔𝗠𝗪𝗔𝗚𝗜𝗪𝗔 𝗦𝗜𝗙𝗔
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa...
Zanzibar Yaanzisha Hati Fungani Isiyokuwa na Riba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefungua dirisha la uwekezaji katika hati fungani inayofuata misingi ya dini ya Kiislamu, Zanzibar Sukuk...
Kwa kweli kama kuna anayejua jibu ya hili swali atusaidie. Huyu Samia, Lissu alimkosea nini?
Kiukweli kabisa katika mambo yanayokufanya uendelee kujiandikia historia ya doa jeusi ni hii ya...
Yawe maandamo ya Amani na siku hiyo ifanyike ibada kubwa .Tena kubwa kabisa.
Baada ya maandamano mfanye ibada kubwa . Maandamano haya yawe Tanzania nzima.
Muwakumbuke wote bila kubagua dini...
Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu...
Waziri Mkuu wamchongo anaendelea kutuchamba kama, boss wake mwingine
Hii serikali ya mchongo inahuzuni sana wanatuona kama watoto wao nyumbani
===============
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba...
Wanaukumbi.
KUONGEA KUHUSU NINI?
Yaani Lissu, anachekesha sana. Yaani mnataka kuingia serikalini kwa mlango wa nyuma. Nyie mnataka kuongea subirini uchaguzi uishe mwezi Oktoba 2025 kwa sasa...
Ukitaka uweze kuwa relevant don't speak soft
Ila ongea ukweli tu.
Tumefanya Sana siasa za unafiki, uongo na uhuni . tumewasabishia vijana matatizo makubwa
Ila sasa tunakomesha , Vyama vyote...
Habari ndugu zangu wanajamvi.
Wakati naingia kidato cha kwanza miaka ishirini iliyopita wazazi wangu walifundisha umuhimu wa kusimamia ukweli hata kama darasa zima watanipinga.
Walinieleza kuwa...
Alipo kufa Magufuli mwanae amepewa ZAWADI ya ubunge,
Akifa Kikwete Leo hii mwanae tayari yupo bungeni.
Akifa RAIS Samia mambo yapo tayari bungeni.
Alikufa Lowasa mwanae akapewa ubunge, ila this...
Hapo vip!!
Mama Tibaijuka binafsi mimi sio mtu ambaye napenda sana kufuatiliaaga mambo yako wala kukufahamu sana ila leo nashangaa nimeota ndoto juu yako.
Nimeota like kama umetengenezewa kesi...
Msanii na mfanyabiashara Shilole amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya eneo lake la biashara #shishifood kuchomwa moto Oktoba 29 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu uliyopita miezi kadhaa nyuma.
"Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.