Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi naamini ushahidi waliupokea mpaka sasa uneonyesha kukidhi viwango wanavyovitaka na ndio maana wako kimya wakiendelee kuupitia zaidi huo ushahidi. Kwa maneno mengine, wangeshaukataa huo...
10 Reactions
28 Replies
637 Views
Huyu ni PhD wa wapi huyuuuuu??? Mikataba iseme hawawezi kutumia hela yao kulipa madeni yao nje ya nchi. Badala ya vipengele vya kimkataba vya kudhibiti usipigwe, unataka kumpangia afanyeje na...
0 Reactions
1 Replies
144 Views
Wananchi walihamasishwa kipumbavu na wapumbavu kwa kumchonga mpumbavu waliyemwita Kapteni Tesha. Kapteni Tesha na wenzake walijenga picha kuwa jeshi la JWTZ liko nyuma ya maandamano/mapinduzi ya...
3 Reactions
48 Replies
1K Views
Jaji Warioba alikutana na Samia jana. Hatukuia walizunhumza nini. But.most likely ni mauaji yaliyotokana na uchaguzi bandia. Najiuliza walizunhumza nini na alikuwa na ujasiri wa kumwambia matakwa...
1 Reactions
7 Replies
344 Views
Mheshimiwa Waziri Mkuu, Jana, tarehe 23 Novemba 2025, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, aliulizwa na waandishi wa habari kuhusu takwimu rasmi za matukio ya vifo na majeruhi vilivyotokea...
4 Reactions
6 Replies
324 Views
Wananchi zaidi ya elfu 10 wamekufa serikali kama mzazi ilitakiwa kuwa karibu na wananchi wake angalau kuwafariji hata kinafiki tu, badala yake inawakejeri na kuwafungulia kesi za uhaini. OK, if...
1 Reactions
4 Replies
157 Views
Ndugu Mwigulu Samia alipata kura million 32 Ndugu Mwigulu wasanii watumie akili yao yote maarifa yao yote nguvu zao zote kufanya kazi. Kama waliunga mkono CCM na CCM inaungwa mkono na watu...
6 Reactions
8 Replies
302 Views
Haya ndio maono ya 2025 Baada ya watu kuchapatana na kuumizana sana na kila mmoja akiwa amechoka kwa mtifuwano wa 2025. Haya ndio yatatokea. Pataitishwa baraza la siri la wazee na makachero...
114 Reactions
425 Replies
58K Views
Ujumbe ambao inadaiwa umetumwa na aliyekuwa kada wa CCM, Dkt Godfrey Malisa ambaye aliripotiwa kutekwa usiku wa Novemba 20, akiwa nyumbani kwake maeneo ya msamaria majengo au malenga, siku chache...
17 Reactions
38 Replies
1K Views
Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo. Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko...
46 Reactions
176 Replies
10K Views
Ndugu zangu wa JWTZ, ni muda wa kwenda kulala, yes kalaleni kwa amani, polisi wapo kwaajili ya kuwalinda wala msiogope. Pumzikeni baada ya kazi ya kupasua matofali kwa kichwa. Mkikamatwa...
7 Reactions
13 Replies
546 Views
Njia ya kumaliza maandamano sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe kwanza ikiwemo muuaji kuachia madaraka hata tutawala kamwe. Na hakuna mtu wa kutubabaisha babaisha tunachukua nchi yetu.
3 Reactions
24 Replies
596 Views
GTs Mwenzetu Mh. Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu, nina jambo ngoja nitoe nyongo, ingawa mimi na wewe tunajua kura za ushindi hazikupigwa kabisa ila tume isiyo kuwa huru ilitick ballot paper zote...
6 Reactions
32 Replies
941 Views
Wanaukumbi. HUKU SASA NI KUCHANGANYIKIWA NA KUTOKUWA NA AKILI KWA WANAOJIITA WANAHARAKATI... Moja ya sifa za hovyo sana za wanaojiita wanaharakati ni kuwa watu wasiotaka kila kitu na hawataki...
4 Reactions
112 Replies
3K Views
Tangu tupate uhuru, hatujawahi kuwa na serikali mbovu na hatari na yenye waziri mkuu mbovu kama huyu ila sasa. Jamaa linaongea utadhani kinywa na ubongo havina mawasiliano. Kila anachoongea ni...
12 Reactions
16 Replies
631 Views
Rasmi! Rwanda na M23 wamekamata miji muhimu ya Kivu Kusini na Bandari zote muhimu za upande wa ziwa Tanganyika huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Mafanikio haya kwa Rwanda na M23 ni matokeo...
73 Reactions
311 Replies
9K Views
Ni baada ya Msigwa kutoa taarifa ya kwamba, Waziri wa mambo ya Nje Kombo amekutana na kiongozi wa Republican Brian Mast na kuahidi kumsaidia. Wamemwambia, "Sisi walipa kodi wa Marekani...
18 Reactions
61 Replies
4K Views
Mwananchi huyu amemchana Waziri Mkuu Mwigulu baada ya kauli yake kuhusu wasanii kutoungwa mkono na wananchi. Amesema; "Tunaona unatufokea kisa hatuwasapoti wasanii. Sasa, kama unaona kwamba...
21 Reactions
15 Replies
680 Views
"nilikua nakuskiliza pale ulivokua unaongelea na kutoa maelekezo thabiti ya barabara ambayo imetajwa na Baba askofu na makofi mengi ya wananchi yaliashiria kwamba wamekuelewa. Yale maelekezo...
2 Reactions
18 Replies
702 Views
"Mkuu wa Mkoa uko hapa, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi upo hapa na Nyota Mtoto wetu yupo hapa. Nafikiri nikisema hivyo mmenielewa. Mmenielewa? Nyota ya mtoto wetu yupo hapa, nawashukuru sana...
14 Reactions
120 Replies
4K Views
Back
Top Bottom