Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sijui watanzania wanaounga mkono mambo haya ya kutisha nchini sijui wanamatatizo gani mimi nakosa usingizi naumia sana. Mambo haya ya mauwaji na utekaji na ubambikiaji kesi kwa watu wazuri wasio...
11 Reactions
50 Replies
702 Views
1. Gerson Msigwa - anapambana sana kutengeneza "narrative" kwamba, hakuna chochote kilichotokea kibaya Tanzania, angali kichwani mwake ana taarifa nzuri za "reality on the ground." Ni wazi ugali...
19 Reactions
95 Replies
4K Views
Nilikemea kwa nguvu sana tabia za viongozi wa dini kutumika kisiasa. Niliwataja kwa majina yao. Nimefurahi sana kuona Papa amesoma kwa umakini wa hali ya juu na kuzielewa vizuri posts zangu za...
0 Reactions
12 Replies
238 Views
My people, Ni muendelezo ule ule wa makala zetu mbali mbali za kuwakomboa vijana dhidi ya ushawishi wa kufanya maandamano haramu,ambayo madhara yake wote tunayajua Kwa mujibu wa taratibu za nchi...
0 Reactions
60 Replies
836 Views
Serikali imeanza mpango wa kuunganisha kitambulisho cha Taifa na Huduma nyingine za kiserikali ikiwemo Bima ya Afya,Leseni ya udereva na Masuala ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ili kuepusha utitiri...
1 Reactions
11 Replies
355 Views
Kuna watu wengi wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kuhubiri amani bila hata kutaja tu neno haki. Kwa maoni yangu, hawa wameshindwa kutumia muda wao wisely. Wanapaswa wawekeze zaidi katika kuhubiri...
3 Reactions
8 Replies
181 Views
Ndugu Zangu watanzania, Kiukweli na kwa hakika Waziri Mkuu Wetu Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean Ameiva kwelikweli. Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia...
0 Reactions
39 Replies
816 Views
Ule usiku watu waliouawa pale Kinyerezi, Kweli kulikuwa na uvunjaji wa duka na wakazi wa hilo eneo la Kinyerezi wakapiga simu, wakaja askari waliovalia kiraia. Mazingira ya hao plainclothes police...
32 Reactions
100 Replies
5K Views
Msanii Zuena Mohamed ( Shilole ) ambaye ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Migahawa ya SHISHI FOOD, leo Disemba 18,2025 akiwa katika eneo la Mgahawa wake wa Dar es salaam ambao ulichomwa moto katika...
2 Reactions
17 Replies
458 Views
Wazo kuu hapa ni kwamba utajiri wa kweli wa matajiri haujatokana na kuwa na rasilimali asilia (kama mafuta, madini, au ardhi yenye rutuba) bali ubora wa rasilimali watu (human capital), yaani...
2 Reactions
9 Replies
545 Views
Wakuu, Hebu Jaribu Kufikiria Kwa Tanzania Hii Iliyo Na Rasilimali Zote Tulizonazo Kama, -Madini Aina Zote&unique -Mbuga Za Zenye Wanyama Aina Zote. -Tuna Gas Mfano Helium Ziwa Rukwa Na Sea...
3 Reactions
3 Replies
255 Views
Ukiangalia kwa undani utajua kuwa nchi za watu weusi hazina watu wenye akili . Inawezekana vipi kanchi kadogo Kama Finland kakawa kanatupa misaada.!!?
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Askofu Mkuu wa Makanisa ya Bethel Calvary Church Dr. Willy Ackyoo amewasihi Watanzania kuonesha uzalendo wao kwa Tanzania kwa kuhakikisha wanasherekea kwa amani, Sikukuu ya X - Mass ambayo...
0 Reactions
2 Replies
186 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Waziri Mstaafu wa Mambo ya Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika ya Kusini, Dkt. Grece...
2 Reactions
10 Replies
394 Views
Kampuni ya Raddy Energy Solution Limited ya Tanzania imeingia makubaliano ya kununua mitambo minne ya kuzalisha umeme kwa njia ya gesi asilia wa jumla ya megawati 177 kutoka kampuni ya Siemens...
0 Reactions
2 Replies
233 Views
Kikao cha pamoja baina ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uswidi, kampuni ya Raddy Energy, Benki ya CRDB na wawakilishi wa taasisi za fedha za Serikali ya Uswidi wakiendelea na kikao jijini Stockholm...
0 Reactions
0 Replies
191 Views
Nimesoma na kusikia maelezo mbalimbali ya watawala walioshinda kwa kushindwa ya kuhusuiana na Octoba 29. Hata jana Samia alipowasifia JWTZ nilitarajia angesema kitu kuhusu uwezo mdogo wa vyombo...
27 Reactions
68 Replies
3K Views
Leo Desemba 19, 2025, Jeshi la Polisi limemkamata Bi. Ashura Masoud, Katibu wa Kanda ya Kati, akiwa katika ofisi za Kanda - Dodoma akijiandaa na mkutano na waandishi wa habari. Pia wamekamatwa...
3 Reactions
9 Replies
377 Views
Sheikh Pembe, ametoa onyo kwa Waislam kuhusu maandamano ya Desemba 25, akisisitiza kuwa jamii inapaswa kutazama matokeo ya mwisho ya hatua yoyote badala ya kushawishika na mipango au kauli...
1 Reactions
54 Replies
1K Views
Nakumbuka mahali ilipokuwa taifa la Zimbabwe, Mshua aliwahi kufika huko miaka 1990s. Alitueleza mengi sana na kulikuwa na products za Zimbabwe kimasoko zilifika hadi hapa nchini. Shida ilianza...
26 Reactions
44 Replies
1K Views
Back
Top Bottom