"Na mimi hii nitaendelea kusema hata wakereke ndio Mungu aliumba kila nchi akaipa rasilimali zake, rasilimali za Tanzania ni za Watanzania na Mheshimwa Rais alitoa maelekezo anayetaka aje...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo, amelaani tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kutumia mamlaka na ushawishi wao kwa waumini kuhalalisha migogoro na migawanyiko ndani ya mataifa yao...
Kwa tuliofatilia siasa za zanzibar miaka ya nyuma kidogo mtakumbuka matukio mengi yanayo fanana na haya yaliyokua yakitokea huko Zanzibar.
Watu walikua wanatekwa, tena usk wa manane na kuuawa au...
PROPAGANDA ZA KUKUZA UWEZO WA RWANDA KIJESHI ZINAHATARISHA USALAMA WA NCHI YETU HAPO BAADAYE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuna tabia ambayo imekomaa miongoni mwa watu ya kuisifia...
Mzee Warioba mimi namuona kama Mzee mnafiki mkubwa anaetaka kurekebisha makosa yake kupitia Samia, Rais mwanamke mzanzibari. Kuna wakati namuona kama mzee ambae watu fulani wanamtumia vibaya...
Sikumbuki ni lini baada ya uchafuzi mkubwa wa kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM ilisikika tena popote! Hata matukio ya kutengenezwa ili kuiweka ccm kwenye ramani ya mijadala yalikufa...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekishutumu chama kimoja cha siasa nchini akidai kinatumika na maslahi ya nje kuvuruga amani na mwelekeo wa taifa...
Salaam wana Jukwaa wa Jamii Forum.
Niwape pole na madhira yaliyoipata nchi mnamo Oktoba 29, kwa ufupi ni matukio ambayo kila aliye muungwana na mwenye roho ya utu, ubinadamu na hofu ya Mungu...
"Wewe huku unaambiwa komaa kamanda mpaka ufe, sisi [wabunge wa CCM na upinzani] tunaazimana mpaka mafuta." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu akizungumza na wananchi wa Uyole, Mbeya
Eti anatuuliza kama tulikuwepo, kama yeye alikuwepo atuambie aliona polisi wakiua wangapi kama hakuwepo na hajui idadi na anyamaze kimya hana tofauti na wanaosema elfu 10.
Yeye alijuaje vituo...
Anaandika John Heche
"Chama chetu kimeshambuliwa pakubwa mno, viongozi na wanachama wetu kwa maelfu wametekwa, kuumizwa, kuwekwa mahabusu za polisi kwa mda mrefu bila sababu..
Wengine kina Mdude...
Hoja ya kwamba tunaonewa wivu na nchi nyingine duniani imekuwa ni kama alama ya siasa za CCM kwenye kuzuia isikosolewe.
Hivi ni jambo ama kitu gani tulichonacho Tanzania kinachofanya tuonewe wivu...
Ili kupata fedha za kununua dawa kwa wagonjwa wa UKIMWI, ukoma na kifua kikuu, watawala wa CCM wameamua kuwakamua raia mamilioni ya shilingi. Licha ya kuwa tayari wananchi wanaendelea kukamuliwa...
"Ni juzi tu watu wamekufa kama panya alafu tunaambiwa usiseme hicho, na sisi tumekuwa wapumbavu tunadhani hizi ni zama kama zile za mababu " Padre Parokia ya kiwanja cha Ndege Dodoma.
Kabla bwana Abdul hajafunga ukurasa wake wa X, niliweza kumfatitilia tabia yake kwenye mitandao kwa miaka 10 iliyopita nikagundua huyu bwana ameanza visiasa vya chini chini miaka mingi sana...
Askofu Paul Bendera amewataka watanzania kuungana na watu mbalimbali Duniani kusherehekea kwa amani, Siku ya Kuzaliwa kwa Yesu Kristo Disemba 25, na kuachana na mipango ya wasiolitakia mema taifa...
Wakenya walitoka kwa wingi na kuandamana,
Wakenya walipata sapoti ya Media,
Wakenya walipata sapoti kubwa ya wasanii na watu mashuhuri,
Wakenya walifanikiwa kuandamana mpaka kuingia Bungeni...
DODOMA, Tanzania – Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa ufafanuzi kufuatia uamuzi wa Serikali ya Marekani kuiweka Tanzania katika kundi la nchi 15 ambazo raia wake wamewekewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.