Pearce
JF-Expert Member
- Dec 15, 2018
- 732
- 1,746
Nakumbuka mahali ilipokuwa taifa la Zimbabwe, Mshua aliwahi kufika huko miaka 1990s. Alitueleza mengi sana na kulikuwa na products za Zimbabwe kimasoko zilifika hadi hapa nchini.
Shida ilianza viongozi kuanza kukosa sera na mikakati ya kuendeleza nchi yao, na kuanza kutafuta adui wa nje kuwatazamisha watu wamuone adui yupo nje mabeberu akishirikiana na baadhi ya watu waliopo ndani ya nchi yao n.k wakati kihalisi matatizo yameanzia ndani ya nchi yao. Na viongozi wao wakiwa wahusika wakubwa.
Hivyo akafanikiwa kuwagawa raia wao na mauaji ambayo yalishuhudiwa katika Ulimwengu hule ambao haukuwa na social media kama hii leo.
Kilichofuata ni kwamba nchi ya Zimbabwe. China, Urusi na Iran haijaweza kuwasaidia kutoka walipofikia. Na kuna wanachi wengi pale wamekimbia nchi yao wengi wamekimbilia S.A na nyingine za jirani lakini uthamani wao mataifa walipokimbilia umeshuka pia na wanahusishwa na mambo ya uharifu na cheap labor.
Hivi gharama ya kuwajibika, ili kuliponya taifa sababu tukumbuke tu hata miaka 100 mbele wananchi sisi na hata hawa Viongozi hawatakuwepo lakini TANZANIA itaendelea kuwepo.
Kweli kumekuwepo na mfululizo wa Propaganda halafu hapo hapo inakuja taarifa nyingine kutoka katika mataifa hayohayo yaliotolewa kuwa tunaboresha mahusiano, mara sijui TANZANIA hivi. Yakionesha action hatupo nao vizuri, Mfano Ban ya USA iliotuweka nafasi moja na Venezuela, na sasa hivi fund za ARV.
Kwa ambao mnafahamu historia mpaka 2015 kwa kanda hii mshirika mkubwa wa marekani alikuwa TANZANIA, kiasi kwamba ilimsumbua Kagame na m23 pamoja na Uhuru na Ruto waliokuwa na kesi ya Hague.
Hawa Viongozi kama wanalipenda taifa, ni wakati wakuwajibika hilo ndio suluhisho. Kama kweli wao ni wazalendo na wanalipenda Taifa.
Kuliko kulipeleka mahali ilipokuwa Zimbabwe kwasasa na zile Propaganda uchwara za mabeberu zinazohubiriwa kwenye majukwaa na kujaribu kuunganisha taifa kwa kutafuta adui wa nje, wakati matatizo yameanzia ndani na yapo mpaka sasa. Tusitiane moyo tunaona hakuna aliyewahi kutoboa nazo. Ukweli utatuweka huru.