Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naweza kusema tumesahaulika ila taathira yetu ni kubwa mno japo inaenda taratibu mno. Wewe tuweke unapo taka baina ya haya makundi mawili,ukituweka wa kwanza sawa,ukituweka wa pili sawa,na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Hapa chini nimewawekea hotuba nzima ya Luhaga Mpina bila kuchakachua kitu. Angalizo, hii Hotuba ilitolewa tarehe 27 Oktoba, lakini Document ya hotuba imetoka leo. Naipost hapa...
2 Reactions
4 Replies
406 Views
Hamjambo wote! 1. Tangu November mwezi uliopita mpaka Leo hii. Kila pages inayobeba utambulisho wa jeshi la nchi yetu. Huko mtandaoni inapitia kipindi kigumu kutoka kwa wachangiaji wa maoni yenye...
19 Reactions
152 Replies
4K Views
Uovu hata ulindwe namna gani, hauwezi kudumu. Utawala wa makaburu ulikuwa na kila kitu, kuanzia silaha, tekinolojia, vituo vya tafiti za kisayansi mpaka utajiri wa pesa. Makaburu walifanya tafiti...
22 Reactions
35 Replies
1K Views
BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limesema kuwa linaunga mkono tamko la Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche, la kupinga uchaguzi mkuu wa 2025 na kueleza...
2 Reactions
3 Replies
231 Views
Tanzania ya sasa sio sehemu salama kwa mtu yoyote, ukikamatwa na polisi wanaweza kukuuwa na wasifanywe chochote mageuzi ni lazima. Lazima tuandamane kudai uhuru na haki, na uwajibikaji.
12 Reactions
37 Replies
641 Views
https://www.tiktok.com/@visitngorongoro/video/7585837537608961301
0 Reactions
0 Replies
155 Views
Tangu Camilius Wambura akiwa ZCO pale Dar (enzi za Magufuli), vitendo vya utekaji vilishika kasi. IGP wa wakati huo alijitahidi kudhibiti, lakini wapi. ZCO wa wakati huo (Wambura) alikuwa kwenye...
4 Reactions
5 Replies
264 Views
Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) uliofanyika Kampala, Uganda, kupinga uongozi wa Rais Idi Amin. Mkutano huo ulimfanya Amin kuwa...
2 Reactions
1 Replies
263 Views
Kwa mwezi mzima Lissu hajaletwa mahakamani, unaweza Dhani ni bahati mbaya but No. Kwa muda Sasa serikali imekuwa kwenye negotiations na Lissu Ili akubali kushirikiana nao. Toka amewekwa gerezani...
31 Reactions
50 Replies
2K Views
Hakikisha nyumbani ukosi kichupa chenye asidi Hakikisha nyumbani ukosi mafuta ya petrol Tengeneza kabati maarumu Kama zile za kutunza mithihani shule weka vifaa vyako pale. Hakikisha nyumba...
13 Reactions
23 Replies
518 Views
Hakuna matamko wala maandamano ya kuunga mkono hotuba za rais wala kazi za rais. CCM wote wapo kimyaaaaa! Na wengine wameanzisha kampeni ya kuchoma kofia, baiskeli na t-shirts za ccm. Hata ndani...
13 Reactions
17 Replies
541 Views
Uvunjaji mkubwa wa sheria, unaofanywa na mamlaka kwa kushirikiana na baadhi ya askari wapenda rushwa hauvumiliki na lazima ukomeshwe. Tunapinga vikali watu wote wanaofanya mauwaji na utekaji...
3 Reactions
1 Replies
127 Views
Historia ya kagame inaonyesha tokea tangu mtoto kua mkimbizi nchini uganda. Kwa watu waliyomjua walipokuja tanzania na museveni baada ya kua mkimbizi tena tanzania alipokua anapata mafunzo ya...
3 Reactions
40 Replies
1K Views
Naona Mwigulu hajui afanye nini yupo anafanya kazi kama machawa na vijana wa UVCCM, Hajatambua ukubwa wa cheo chake kitaifa na kimataifa 1. Kufanya majukumu ya Rais katika kazi maalum (ibara ya...
31 Reactions
101 Replies
4K Views
Bibi Dorkasi amehoji kauli ya Rais alipokuwa akiongea na Maafisa wa kijeshi Jijini Tanga kwa kulitaka lisichafuea sifa yake kwa kujiingiza kwenye mambo ya siasa, Bi Dorkasi amesema kuwa...
15 Reactions
8 Replies
400 Views
Wakiongozwa na Mange , Tausi likokola,.Maria nk . Huko twitter x , insta, Facebook, ticktock wanawake wanaongoz kuhamasisa mabadiliko ya hali ya siasa inchini Tanzania. Hili halijutegemewa...
2 Reactions
8 Replies
210 Views
"Duniani kote hakuna fedha inayoitwa ya serikali; serikali ni mratibu tu. Miundombinu yote inayojengwa ni fedha yenu [wananchi], iwe imekusanywa siku hiyo hiyo au iwe ya mkopo." - Dkt. Mwigulu...
2 Reactions
12 Replies
264 Views
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameishachaguliwa kihalali, hivyo hakuna msingi wa...
5 Reactions
64 Replies
2K Views
Balozi wa Tanzania nchini Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi (wa nne kutoka kushoto mstari wa mbele), akiwa pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Raddy Energy ya Tanzania, Ramadhani Mlanzi (kulia kwake)...
1 Reactions
17 Replies
440 Views
Back
Top Bottom