𝗡𝗮𝗶𝗯𝘂 𝗪𝗮𝘇𝗶𝗿𝗶 𝗠𝗮𝗴𝗵𝗲𝗺𝗯𝗲 𝗮𝘀𝗵𝗶𝗿𝗶𝗸𝗶 𝗠𝗮𝗮𝗱𝗵𝗶𝗺𝗶𝘀𝗵𝗼 𝘆𝗮 𝗺𝗶𝗮𝗸𝗮 𝟲𝟭 𝘆𝗮 𝗨𝗵𝘂𝗿𝘂 𝘄𝗮 𝗭𝗮𝗺𝗯𝗶𝗮
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe ameshiriki sherehe ya...
Tangu yatokee maandamano yaliyosababisha mauaji ambayo Bongo hatujawahi shuhudia, kumekuwako na minong'ono juu ya ni nani anatawala Bongo yetu na bongo zetu. Kila usomapo, usikia majina matatau...
Mdau anasema yeye ni daktari aliekuwa likizo kabla ya uchaguzi. Alipokea SMS akielekezwa kurejea kazini kabla ya siku ya uchaguzi kwa ajili ya kujiandaa na wimbi kubwa la majeruhi litakalokuwepo...
Dorkasi ameeleza kuwa utawazuiaje watoto ambao ni watu wazima tayari wenye miji yao kuwa wasiandamane wakati wao ndiyo watawala wa kesho, ameeleza hii kufuatia hoja iliyotolewa mbele ya wazee wa...
Kwa raisi atakaefuata, njia pekee ya mafanikio katika maendeleo ni kuwekeza nguvu kubwa katika Elimu, tumejaza watu wengi sana kwa jina la wanaharakati wakiwa na mchango 0 katika taifa, zaidi ni...
Katika pitapita mitandaoni sijafanikiwa kukutana na mahojiano au hata tweet ya Mr Benard Membe l.
Akizungumzia chochote juu ya kifo cha Magufuli wala ingizo jipya la raisi Samia Suluhu. Huyu...
Salaam!
Nimemsikia kiongozi wa BAWACHA akiunga mkono kauli ya makamo mkt Taifa John Heche kuhusu kutoitambua Serikali na uchaguzi batili uliofanyika.
Sasa kosa la kiufundi linakuja pale msemaji...
Juzi tu Baada ya kuapishwa Mh Simbachawene alijitokeza hadharani akiwaelekeza Polisi namna nzuri ya kukamata Watuhumiwa, akapinga ukamataji wa kishamba kwa kutumia mabunduki mengi na magari ya...
Mbunge wa Kigoma mjini amewaomba wanachi wa Jimbo lake kutokupika pilau siku ya Mwaka mpya kwani kitapikwa chakula cha kwa pamoja Katika viwanja vya Mwanga Community Center.
Aidha Mhe. Baba levo...
Kila kukicha waziri mkuu amekuwa na wimbo mkuu wa " wanataka madini ya nchi yetu".
Sasa kama nchi ina URANIUM, Lakini mbona maisha ya watanzania hayaendani na rasilimali zilizopo? Au hizi...
https://tanesw.tra.go.tz/cgme/onln/actn/cgme0504001q?menuId=menu_cgme0833
Mfumo huu unakua na bidhaa nyingi sana unaweza tu bei unaotaka, mfano kuna mpaka scania za mil 0, however ni bidding...
Mange kimambi kakatiwa kibunda chake Cha maana mapema sana baada ya serikali batili ya tanzania kutembeza mkong'oto Kwa manyumbu wasiojielewa kaingiza mitini Instagram Kwa kigezo kwamba kafungiwa...
By Malisa:
Kwa dunia Australia inaongoza kwa uranium deposit ya tani 3.6 milion. Kazakhstan inafuata kwa tani 2.9 milion. Kwa Afrika, Namibia inaongoza kwa tani milioni 1. Wote hao Uranium yao...
Sidhani kama Chadema walikimbia uchaguzi kwa shinikizo la watu wa nje. Hii sio kweli kabisa.
Takwa kubwa lilikuwa ni kupata katiba mpya ambayo ingeweza kuleta mazingira ya kutokuwa na udanganyifu...
Hamjambo wote!
1. Leo majira ya jioni nilikuwa natembea kandokando ya morogoro Road kutokea Kimara Korogwe mpaka Ubungo Flyover.
2. Naona kazi inafanyika. Na inaenda vizuri Sana.
3. Ingawaje...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa sasa Huyu Ndiye Mzalendo nambari Moja Aliyebakia Hapa Barani Afrika. Ndiye Tumaini kuu la watanzania na wa Afrika wote. Ndiyo sauti na nguvu ya watanzania na Afrika...
My people,
Utangulizi
Uhuru wa kutoa maoni na mawazo unaenda sambamba pamoja na kusikiliza maoni na mawazo ya watu wengine, si mwenye busara mwenye kutaka kusikilizwa tu, bali mwenye busara ni...
Ukitaka kuelewa ni kwanini risasi 42 alizopigwa Tundu Lissu Septemba 7, 2017 na 16 zikaingia mwilini mwake hazikupata ruhusa za kuondoa uhai wake, basi jibu unaweza kulipata wakati huu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.