Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amesema serikali itaendelea kuthamini sauti za viongozi wa kiroho na kidini kama washirika muhimu katika ujenzi wa taifa lenye kuthamini haki...
Mwanzo 9:6 NMM
“.....Yeyote amwagaye damu ya mwanadamu, damu yake itamwagwa na mwanadamu, kwa kuwa katika mfano wa Mungu, Mungu alimuumba mwanadamu..."
Na Mungu si mwanadamu hata aseme uongo...
Mpaka sasa wahuni wamekataliwa wamebaki kujialishia kuelekea D9 eti jeshi litatulinda ngoja wataona maana halisi ya moto.
Kwa kifupi tushawashinda wanabaki kubweka bweka hasa huyu mzee wa...
MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ametinga nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …
Dk. Pandor...
Lakini pia, huenda Dr.Samia Suluhu Hassan, ndie rais mwanamke madhubuti zaidi duniani kwa sasa.
Hayumbishwi wala kutetereshwa na porojo au mashinikizo ya mamluki na vibaraka wa mabwenyenye ya...
Wananchi wanayo haki ya kumpindua samia wanapo kunyima kazi unatakiwa hujiuzuru hii ni nchi ya kidemokrasia wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho.
Wananchi ndio wanauwezo wa kumpa kazi mtu yoyote...
Maamuzi hayo yamefikiwa na Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola.
Kikao hicho kimeeleza kushtushwa kwake na taarifa za ukiukwaji wa haki na uvunjifu wa amani za matukio ya Oct...
Nashangaa sana kuona mijadala ya Economic integration , Rwanda, Infrastructure na development projects imejaa ushabiki wa kisiasa bila kuangalia mambo kwa upembenuzi yakinifu.
Na kinachosikitisha...
TANZANIA NA ALGERIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akifuatilia majadiliano ya Mkutano wa pili wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika na Urusi maarufu kama...
Dunianyote imelalamika kuwa ripoti hiyo haiwezi kuwa independent, neutral and credible. Essence ya investigative ripoti ni kupata ukweli, ukweli usio na mashaka. Sasa consumers wanasema...
Mapinduzi ni suala dogo kuliko mauwaji na utekaji unaofanywa na anayeuwa na kuteka amestahili mapinduzi ni haki yake hatutokuwa kitu kimoja.
Na amestahili kwasababu ni mpumbavu na anahatarisha...
Mungu haonekani lakini watu huwa wanamuona kwa matendo yake.
Mobutu Seseko, Idd Amini, Blaise Kompaore, na wengine wengi ni mfano ulio wazi.
Wote hawa walimaliza kwa mwisho mbaya .
Ndugu zangu Watanzania,
Nimegundua hawa ndugu zetu wazungu wanafanya mambo au kutoa matamko au kuzungumza jambo au mambo au kitu. Au kutoa taarifa au kujadili jambo au taarifa au kufanya maamuzi...
1Wathesalonike 4:13 “Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini.
14 Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka...
Adhabu walioitoa TCRA ilikuwa inaisha tarehe 9 disemba.
Sasa kwa nini wanawanyima Watanzania uhuru wa kujadili na kupeana habari juu ya mustakabali wa taifa lao?
Kwa nini TCRA wanakiuka na...
Kupitia Bunge la 12 linaloendelea Jijini Dodoma, Serikali imepeleka Bungeni Muswada unaopendeleza Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa.
Pamoja na Mambo mengine, Sheria inapendekezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.