Kati ya Samuya, Kikwete, na Abdulii, nani anaongoza Bongo?

Kati ya Samuya, Kikwete, na Abdulii, nani anaongoza Bongo?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,100
Reaction score
13,698
1766259696082.png

Tangu yatokee maandamano yaliyosababisha mauaji ambayo Bongo hatujawahi shuhudia, kumekuwako na minong'ono juu ya ni nani anatawala Bongo yetu na bongo zetu. Kila usomapo, usikia majina matatau, yaani hayo hapo juu.

Wa kwanza, wote tunamjua kama mkuu wa kaya. Pia, tunajua kuwa ana washirika wengi ambapo wanaotajwa kwa karibu mambo yote machafu ni wawili wanaofuatia hapo juu.

Ni sawa na ilivyokuwa wakati wa jiwe ambapo Bashiti alitajwa sana tusijue kuwa kumbe alikuwa ndumilakuwili. Wote waliokuwa karibu na Jiwe wamebwagwa isipokuwa yeye na Daktari ubwabwa Allie Kakulwaaa.
Je, kwa mkutadha huu, nani haswa anaendesha Bongo yetu?
 
Back
Top Bottom