Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naweza kusema yalikuwa mahesabu ya hovyo japokuwa walidhania yataisadia CCM. Eneo pekee hapa nchini ambalo huwa linatoa mustakabari wa taifa letu ni kanda ya Ziwa Victoria hususani kwenye...
8 Reactions
18 Replies
752 Views
Kupitia ukurasa wake mtandaoni Spika Mstaafu na Mbunge wa Uyole ameandika; "Nawapongeza wanachama wote wa Kamati inayowakilisha Bunge la Muungano wa Myanmar (CRPH) kwa mapambano yenu thabiti...
7 Reactions
16 Replies
737 Views
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗭𝗜𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗨𝗕𝗔𝗟𝗢𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗡𝗖𝗛𝗜𝗡𝗜 𝗠𝗜𝗦𝗥𝗜 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo akiambatana na Waziri wa Habari...
0 Reactions
1 Replies
233 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa zipo sababu zinazofanya baadhi ya watu kuingilia mambo ya Tanzania, akibainisha kuwa wanajua nchi imegundulika...
1 Reactions
46 Replies
1K Views
Anaandika Wakili Boniphace Mwabukusi kupitia ukurasa wake wa X: Kuiba Ngoma ya Kijiji ina weza isiwe tatizo, changamoto kubwa ni kutafuta mahali pa kuipigia kwa Amani bila wanakijiji kukusikia...
5 Reactions
6 Replies
393 Views
Ni Rais pekee ambae watanzania wamemkataa wazi wazi. Sio kwa sababu ya Udini( tuliwahi kuwa na rais waislam na hakukuwa na shida yoyote) , Ukabila au Jinsia kama inavyoenezwa kwa propaganda...
60 Reactions
100 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma likikanusha madai yanayosambazwa mitandaoni kuhusu kukamatwa kwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kati. Katika taarifa hiyo, polisi wamesema...
1 Reactions
12 Replies
353 Views
Matukio ya utekaji, utesaji na kupotezwa kwa watu na mauaji ambayo 100% sababu zake ni za kisiasa, yaliyoanza kujitokeza kwa kasi na waziwazi kuanzia utawala wa Rais Hayati John P. Magufuli na...
0 Reactions
0 Replies
212 Views
Wakuu, Akiwa anazungumza hivi karibuni Shaban Pembe amesema kwamba itakuwa ni kitu cha kushangaza kama Wakristo hawatopinga na kukemea maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kwenye siku ya...
3 Reactions
16 Replies
453 Views
Ukosoaji umeanzia mbali, akina Ben saa8 , Roma, wamepitia madhara ya kutekwa. Wametekwa vijana wengi. upinzani na. Chuki dhidi ya serikali unazidi kukua. Wametekwa vijana wengi , Soka, na...
2 Reactions
1 Replies
131 Views
Asilimia kubwa ya hawa watu kwanza ni watu wazima inaweza umri wao ni kuanzia miaka arobaini au kuanzia miaka hamsini kuendelea, Tangu yatokee mauaji ya maelfu ya watanzania kuanzia Octoba 29 na...
35 Reactions
100 Replies
2K Views
Musoma ipo karibu sana na Serengeti, lakini ujenzi wa airport ni wa kusua sua na barabara za Musoma kwenda wilaya ya serengeti ni duni. Watalii hutua Arusha uwanja wa KIA, kisha husafiri masaa...
13 Reactions
40 Replies
971 Views
Suala la lissu kuzuiwa kwa muda mrefu bila kupelekwa mahakamani wakati kesi yeke ni kubwa halikubaliki na nikinyume cha sheria na haki za binadamu. Sheria za nchi hazipaswi kuchezewa na kupuuzwa...
3 Reactions
11 Replies
325 Views
Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera E Mhando ametoa wito kwa wahitimu wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi-Decca kuchangamkia fursa zilizozopo katika jamii zao na kuwa sehemu ya utatuzi wa...
1 Reactions
1 Replies
163 Views
Na Witness Masalu, WMJJWM-Dodoma Serikali yaendelea kusimamia na kuhakikisha kwamba watoto wote nchini hususani wanaoishi katika mazingira magumu wanafikiwa na kupatiwa huduma stahiki. Hayo...
1 Reactions
2 Replies
189 Views
Padre Kitima akizungumza na waandishi wa habari amehoji kulikuwa kuna sababu gani ya kuwaambia watu wasitoke nje wakati wa maandamano halafu wanafuata majumbani na mtaani kwao na wengine kuwindwa...
41 Reactions
129 Replies
3K Views
Katika sikukuu ya Krismasi, familia nyingi hupata fursa ya kipekee, mara moja tu kwa mwaka, kutoka nje na kukutana na ndugu pamoja na marafiki katika mikusanyiko ya kusherehekea na kufurahia...
1 Reactions
5 Replies
215 Views
Mashabiki ambao ni wananchi wametoka kumuona messi ambae ni magu, sasa timu imetafuta mchezaji mbaye ata cover nafasi ya messi amepatikana yamal (ssh). Sasa huyu Yamal sio mbaya lakini...
3 Reactions
8 Replies
226 Views
Msimamizi mkuu wa shughuli za serikali anapoongea watu wanatakiwa waogope na anapotoa maagizo watu lazima waone kweli lazima yatekekelezwe. Angalia ziara za Mwigulu Nchemba ni kama vile...
3 Reactions
12 Replies
326 Views
Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram "Nicodemus Julius loyore Amekamtwa jana ofisini kwake walienda watu waliovaa kiraia wakajitamburisha kuwa ni Polisi wakamchukua na...
4 Reactions
38 Replies
1K Views
Back
Top Bottom