Mshahara wa mwezi uliopita umeshatoka?

Mshahara wa mwezi uliopita umeshatoka?

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,390
Reaction score
39,916
Naanzia Novemba 2025 naona wengi akaunti zimenuna.

Wengi tunafahamu kuwa vyombo vya ulinzi na usalama wamelipwa na wanaongezewa na incentives lukuki.

Safari hii, nchi imeshikwa pabaya maana inaua walipakodi ikiamini haina haja nao.
 
Mimi wangu nilipata tarehe 21/12/2025, kada ya ualimu ,shule ya msingi mpigamiti, Liwale - Lindi
 
Back
Top Bottom