Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
MAUAJI ya Watanzania kwa njia ya kuchinjwa yanaendelea kushika kasi baada ya usiku wa kuamkia jana wakazi wanane wa kitongoji cha Kibatini, kata ya Mzizima jijini Tanga kuuawa kwa kuchinjwa shingo...
0 Reactions
Replies
Views
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Bila kupepesa Maneno, Serikali ya awamu 5 ina sura mbili, na tabia ya namna hiyo huwa tunaiita unafiki/Udumilakuwili/Udananda/Double standards. Mifano:- 1...
3 Reactions
0 Replies
680 Views
Kwa kuzingatia historia na taratibu za uendeshaji wa mabunge yote ya nchi zote chini ya jumuiya za madola hasa kwa nchi zinazoheshimu siasa zenye misingi ya demokrasia ya vyama vingi, adhabu...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Mara nyingi tabia hii imekua ikijiludia mara kwa mara pale wapinzani wanapotofautina na pande hasimu. Swali je? ina manufaa kwa maana ya matokeo chanya?. Nakumbuka toka bunge la katiba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanzoni mwa Serikali ya Awamu ya tano,chini ya Rais Magufuli,kulikuwa na matumaini makubwa. Matumaini ya kuona na kusikia mambo tofauti. Matumaini ya kuachana na mazoea yasiyopendeza. Matumaini...
7 Reactions
78 Replies
6K Views
  • Redirect
By Athuman Mtulya @mtulya amtulya@tz.nationmedia.com Dar es Salaam. The budget of the office of the Controller and Auditor General (CAG) is set to be slashed by half. Finance minister Philip...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
#Hoja_Ya_Wanafunzi_wa_UDOM Watu wengi wanaohoji nini kiini cha tatizo la wanafunzi wa UDOM? Wamefanya nini? Kwanini wamefukuzwa? Kwanini iwe usiku wa manane? Nini hatma yao? #Majibu Mgogoro huu...
15 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hivi mpaka leo hii bado tu hamjamuelewa Raisi Magufuli? Mnafikri ni mtu wa kutishwa na kuyumbishwa kwa mashinikizo? Poleni sana! Jaribuni kumsoma kwanza ndiyo muelewe jinsi ya kuishi naye kwani...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
.....UDOMASA.... UFAFANUZI JUU YA MGOGORO WA UFUNDISHAJI WA STASHAHADA MAALUM YA ELIMU, SAYANSI, HISABATI NA TEHAMA (SPECIAL DIPLOMA) CHUO KIKUU CHA DODOMA KATIKA MUHULA WA PILI WA MWAKA WA...
0 Reactions
Replies
Views
Kwa muda mrefu watanzania wamekuwa wakichagua viongozi wa juu na kuwapanga kwa ubora! Wengi wanamuweka Nyerere kama namba moja na list inafuata just kwa kutajataja bila ya kuainisha facts! Je...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa kitendo alichokifanya leo bungeni personally naona yupo sahihi, Hii ni kutoana na kwamba hana uchungu na wananchi wa Tanzania, Sababu kuu ni kwamba hatujampigia kura kyuingia bungenii, wala...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
  • Redirect
Fuatilieni hizi taarifa harafu unganisha na taarifa ya Waziri bungeni. Kuna kitu hakijawa wazi:
0 Reactions
Replies
Views
Waziri Mkuu aliyeshinikizwa kujiuzulu kwa kashfa ya RICHMOND, Edward Ngoyai Lowassa ana hali mbaya kutokana na tishio la mali zake kuanza kunyang'anywa huku pia akiwa ameshauza nyumba yake moja ya...
8 Reactions
126 Replies
37K Views
Meneja wa Mgodi wa accacia Buzwagi, Bwana Mwaipopo amekubali ombi la serikali kuujenga uwanja wa mpira wa Halmashauri ya mji wa Kahama. Amezungumza hayo jana mbele ya mkuu wa wilaya ya Kahama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Redirect
Mbunge wa upinzani zitto kabwe ameonesha dhahiri kupora cheo.Ikumbukwe kuwa huyu ni mutoto ya mujini katika siasa za bongo. " sio lazima kuitwa KUB lakini dhahiri amepora cheo hiki" na KUB halisi...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
#Soma Mbinu mpya ya Utapeli itakusaidia imemtokea rafiki yangu ! TUWE MAKINI....MATAPELI KILA MAHALI SASA....Copy pasted NI KWELI IMENITOKEA JIONI YA LEO TAREHE 30/5/2016. Jamani, utapeli...
0 Reactions
Replies
Views
Leo tuone tofauti ya hawa wanasiasa tata kabisa ndani ya siasa za bongo.hapa mbowe pale zitto.Hii pia itasaidia wao kuona mapungufu yao dhidi ya mwenzake.twende kazi 1: CHEO KATIKA CHAMA Mbowe...
7 Reactions
119 Replies
10K Views
  • Redirect
Halafu wanataka kuongoza kama vitu vidogo kama hivyo vinawashinda, kumbe ndiyo maana wanawatetea Wanafunzi vilaza walioondolewa kama Waswahili tusemavyo maji hufwata mkondo wake!! (Kwa hisani ya...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom