MWAKATA KWETU
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 562
- 319
Meneja wa Mgodi wa accacia Buzwagi, Bwana Mwaipopo amekubali ombi la serikali kuujenga uwanja wa mpira wa Halmashauri ya mji wa Kahama. Amezungumza hayo jana mbele ya mkuu wa wilaya ya Kahama Mh.Vita Kawawa.
Meneja huyo wa mgodi wa Buzwagi pia alikabidhi hundi ya million mia tano kwa mkuu wa wilaya ya Kahama kwa ajili ya maendeleo ya mji huo.
Chanzo: startv.
Meneja huyo wa mgodi wa Buzwagi pia alikabidhi hundi ya million mia tano kwa mkuu wa wilaya ya Kahama kwa ajili ya maendeleo ya mji huo.
Chanzo: startv.