Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Mara nyingi tabia hii imekua ikijiludia mara kwa mara pale wapinzani wanapotofautina na pande hasimu.
Swali je? ina manufaa kwa maana ya matokeo chanya?.
Nakumbuka toka bunge la katiba, kuapishwa kwa marais wa awamu ya nne na ya tano,na vikao mbali mbali vya bunge, Wapinzani walisusia.
Naomba wajuzi mnijuze manufaa yaliyopatikana kwa kutumia mbinu hii.
Sasa leo tena wamesusa kwa kutokua na imani na naibu spika. Nini faida yake kwa upinzani kwani naamini wakati wa mchakato wa kumpata hwakumchagua, yaani hakua chaguo lao. Sasa kukosa imani nae inatokana na nn?
Wataalamu wa mambo ya siasa mtujuze.