Ni kipofu sasa...Hawezi kupiga hata hatua mbili bila msaada wa wanaoona
Ukomandoo wake aliupata sbb ya kuadhibu Wazanzibar walioikataa CCM ndani ya box la kura
Sasa ni mpofu wa ukubwani,fahari na sterehe za dunia hazioni tena,Utukufu uliompa "kiburi" haupo mikononi mwake tena
Ama hakika malipo ni hapa hapa duniani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.