Kwa muda mrefu watanzania wamekuwa wakichagua viongozi wa juu na kuwapanga kwa ubora!
Wengi wanamuweka Nyerere kama namba moja na list inafuata just kwa kutajataja bila ya kuainisha facts!
Je, tunaweza kuangalia vigezo na kutaja kwa uhakika nani atakuwa bora zaidi hadi sasa.
Nadhani kigezo kikuu katika kupima mafanikio kwa raisi ni kutaka kujua utawala uliopo au uliopita umewezaje kuinua ustawi wa nchi!
Maeneo makuu ktk ustawi ni pamoja na:-
1. Uchumi
2. Demokrasia
3. Huduma za jamii (afya, elimu, etc)
4. Mahusiano na nchi za nje
5. Amani
List inaweza kuwa ndefu ktk kuainisha hayo lakini bado ukuaji na ustawi wa nchi ndio kipimo kikuu cha ujumla!
Sasa je nani aliyekuwa na vigezo bora miongoni mwa maraisi wetu (excluding Magufuli)?