mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,647
Kwa kitendo alichokifanya leo bungeni personally naona yupo sahihi,
Hii ni kutoana na kwamba hana uchungu na wananchi wa Tanzania,
Sababu kuu ni kwamba hatujampigia kura kyuingia bungenii, wala hatuhusu wananchi,
Ndo mana leo hii hadi wabunge wa cham chake wameamua kumgeuka.
Je anafanya haya yote kwa maslahi ya waliomteua?au kwa maslahi ya nani hasa?
Thread haina hati miliki ila ustaarab muhimu.