KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,190
- 5,377
Jicho la tatu ambalo kikawaida linaona zaidi ya uono wa kawaida na mara nyingi linaona mbali kiasi kwamba anayeona anaweza kudhaniwa ni nabii. Wengine wamejaliwa karama ya matumizi sahihi ya jicho hili.
Katika kuangazia mambo mbalimbali, Leo jicho langu la tatu linamuona Dkt.Asha.rose Migiro ambaye kwa sasa ni katibu Mkuu wa CCM akiwa mbali sana kutoka alipo sasa.
Linamuona akiwa Mwenyekiti wa bunge maalumu la katiba ambaye ataongoza mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya na zaidi linamuona akiwa Rais wa Jamhuri yetu baada ya Dkt.Samia Suluhu Hassan.