Tukio la Lissu kupigwa risasi sio dogo kama wengine wanavyodhani, waliohusika wasifikiri litaisha kama matukio mengine yanavyoisha na kusahaulika, kuwa ni upepo tu utapita, wakae wakijua hili halitawaacha salama wajipange kama hawajajipanga,
Baada ya Kenya sasa linakwenda kuwa exposed internationally, lazima vyombo vya habari vya kimataifa vitataka kujua kwa undani sababu ya Lissu kupigwa risasi. Believe me Lissu sio mtu wa kunyamaza atasema kila kitu hadi kuwataja waliohusika kwa majina mtashangaa. Tulieni, Lissu sio Roma akirudi atazungumza kila kitu, "Mwenyekiti, I survived to tell a tale, keep up fighting", ataweka wazi kuanzia makinikia ya Acacia hadi bombardier ya Canada na mengine yaliyosababisha yeye kupigwa risasi.
Vyombo vya habari vya huko havitaishia hapo vitakwenda kiwandani Canada kutafuta ukweli, vitakwenda Barrick kutafuta ukweli na mambo mengine tusiyoyajua yatajulikana stay tuned. Tutegemee kumuona Lissu akihojiwa na waandishi mashuhuri duniani kama kina Richard Quest, Christiane Amanpour, Shaka Ssali nk.
Nilisema na narudia kusema tena Bashite atakuja kumponza rais Magufuli, nafikiri hata yeye sasa atakuwa ameanza kujuta kuwatumia watu wenye zero brain kwenye mipango yake ambao wanatumia nguvu kuliko akili.
Nifuatilie kwenye thread hii,,
Kama Rais Magufuli anamtumia Makonda kulipiza kisasi anakosea sana
Kwa mliopata bahati ya kusikiliza hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe jana, kwenye matamishi yake alikuwa bold alisema tukio hili limewaongezea ujasiri 'hawaogopi kufa lakini hawataki kufa kijinga na hawamuogopi mtu yeyote'. Kwangu yale yalikuwa matamshi ya kijasiri. Inaonekana siasa za Chadema zitabadilika baada ya tukio hili, mimi naweza kusema Tukio la Lissu "is a game changer" kwenye siasa za Tanzania and CHADEMA won't be the same again.