Kuna watu humu wanasema Heche anatumia mbinu mbali mbali kukwamisha LISSU Asitoke ili kwa kuwa yeye anafaidika kisiasa
Njia na nyepesi sana ni kumtoa Lissu mahabusu ili Heche asifaidike tena na aporomoke Kabisa kisiasa.
Au njia nini ugumu wake?
Njia na nyepesi sana ni kumtoa Lissu mahabusu ili Heche asifaidike tena na aporomoke Kabisa kisiasa.
Au njia nini ugumu wake?