Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Sasa idadi imepungua kutoka 40,000 hadi 4,000 hiyo pesa itatolewa? Au ndo basi tena!
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Mbunge wa zamani wa Kahama, James Lembeli, amesema kuwa hakuna neema ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), hivyo wanaoendela kukiunga mkono chama hicho wasitarajie maisha bora. Ameyasema hayo...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasalaam, Juzi hotuba ya Mh.Rais kuna baadhi ya watu wanaiponda, mimi nashangaaa sana hivi watanzania tukoje? Nchi hii jamani tulifikia pabaya sana kwa serikali kuendeshwa kwa ghiliba, uongo...
19 Reactions
126 Replies
8K Views
Wanajamvi hili swala la mpaka wa ziwa Nyasa kati ya TZ na Malawi tusilichukulie lelemama, kwani wenzetu wako serious zaidi ya tunavyofikiri. Kwa lugha yao wamesema hivi: “Timba samachepa ndi...
1 Reactions
308 Replies
25K Views
KWA UFUPI NI DK SALIM,NCHIMBI,MWINYI,MIGIRO NA WASSIRA UCHAGUZI wa wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanywa na Halmashauri Kuu (NEC) ya chama hicho Jumatatu wiki hii mjini...
0 Reactions
60 Replies
9K Views
Mkuu wa wilaya ya Mbulu, Chelestino Mofuga akizungumza na wananchi wa kijiji cha Gidmadoy baada ya kusikiliza mgogoro wa mapato na matumizi uliodumu tangu 2014 hadi 2016. Mkuu wa Wilaya aliagiza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ule utafiti kwamba kwenye kila watanzania watano mmojawapo ni kichaa unawahusu pia na wanasiasa? Wabunge wapo zaidi ya mia tatu, ukigawanya kwa tano unapata makundi zaidi ya sitini ya watu watano...
1 Reactions
8 Replies
709 Views
[emoji101][emoji101][emoji115]Hotuba rasimi ya mh.Rwakatare kwa jpm bukoba,kile kipande kilichokuwa kinarushwa ktk mitandao nikama kilikatwa kwa lengo maalum,nahisi ni watu wa mtaa wa Lumumba.
0 Reactions
2 Replies
999 Views
  • Redirect
PM mwaka huu ni wizara zipi zinatakiwa zihamie dom?
1 Reactions
Replies
Views
Ndugu zangu tangu Mh raisi afanye ziara Kagera imenipa kujiuliza maswali mengi sana. kauli kama..kwani serikali ndo ilileta tetemeko? wapi mliwahi kuona serikali inajenga nyumba za wananchi...
9 Reactions
35 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa Chama, Dkt. Vincent Mashinji ni miongoni wa wageni mashuhuri walioalikwa kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Ghana, Nana...
4 Reactions
59 Replies
4K Views
God forbids! Lakini, yawezekana kukatokea kama yale ya tetemeko la Kagera au yanayofanana na yale. Kutaundwa tena Kamati ya Maafa. Kutafunguliwa tena akaunti ya kuchangia waathirika. Je...
11 Reactions
27 Replies
2K Views
Nimesikia serikali ikitoa mfano kuwa hata Italia serikali haikuwajengea wananchi makazi yao. Lakini kauli hiyo si kweli kwani serikali ya Italia imesema itajenga kila kitu upya katika eneo...
6 Reactions
195 Replies
14K Views
Soldiers mutiny in 3 Ivory Coast cities over pay Soldiers mutiny in 3 Ivory Coast cities over pay
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha Dokta Frida Mokiti amesema kuwa uhaba wa vituo vya afya katika maeneo ya pembezoni mwa miji umekua ukichangia vifo vya mama wajawazito na watoto kutokana na kutembea...
0 Reactions
8 Replies
972 Views
  • Redirect
Niliwahi kusema hapo mwanzoni hutuba za mtukufu Rais JPM nyingi zina walakini katika dunia ya leo .Upeo wake katika masuala ya kimataifa unatia shaka ndio maana safari za nje anazikacha. Hotuba...
3 Reactions
Replies
Views
Gazeti la leo Mwananchi pg 3, limemnukuu Katibu Tawala Wilaya ya Monduli, Ndg Robert Siyantemi "akishauri" utafiti wa kisayansi ufanyike kuona uwezekano wa kutumia damu za wanyama kuwaongezea...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Mambo ya aina hii hayana nafasi sana katika dunia ya leo ni doa kwa serikali yoyote ilie duniani na pia ni hatari kwa taswira ya nchi na kiongozi wake. Dunia ya leo inasisitiza maswala ya...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wanaukumbi Lengo la Mada hii ni kuulizia walipo Legal and Human Right Centre kutoa hata neno moja lisemalo 'sio tu haki itendeke.. ionekane ikitendeka.' Itakuwa sio kuingilia mhimili ule...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
ndio ipo hivyo
3 Reactions
0 Replies
647 Views
Back
Top Bottom