Ndugu zangu tangu Mh raisi afanye ziara Kagera imenipa kujiuliza maswali mengi sana.
kauli kama..kwani serikali ndo ilileta tetemeko? wapi mliwahi kuona serikali inajenga nyumba za wananchi? Serikali iwape chakula kwani serikali ina shamba?
Kauli hizi zimenifanya nimuombe sana Mungu huu ukame unaoendelea sehemu mbali mbali nchini uishe...Mvua zinyeshe kwa wingi na tuweze kulima tupate chakula cha kutosha, na atatuepushe na majanga ya asili angalau kwa awamu hii ya tano...kwa serikali hii ikitokea njaa, anakuja mtu kukwambia serikali haina shamba ni balaaa...
Serikali ni kama mzazi jamani, hizo hela za kusaidia wananchi katika matatizo sidhani kama zinatoka mifukoni mwao, bali ni kodi zetu, ni wajibu wa serikali na wala sio huruma, ifikie mahali ikumbuke kuwa kuwasaidia wananchi kwenye matatizo sio huruma ila ni wajibu wake....hivi kwani uingereza walivyotoa 6b ni kwamba wenyewe ndo walilileta hilo tetemeko? Kenyatta, Museveni walivotoa msaada ndo walileta hilo tetemeko? tutimize wajibu tuache ubabe