Dr. Magufuli yuko sahihi na serikali yake, tubadilike

Jan 27, 2015
50
125
Wasalaam,

Juzi hotuba ya Mh.Rais kuna baadhi ya watu wanaiponda, mimi nashangaaa sana hivi watanzania tukoje? Nchi hii jamani tulifikia pabaya sana kwa serikali kuendeshwa kwa ghiliba, uongo, udanganyifu, unafiki, na kupakaziana bila kuwa wakweli, tukaomba tumpate Rais atakae kuwa mkweli, asiyeogopa lawama za ndugu, marafiki, na wananchi ili tusonge na kutoka tulipo.

Juzi Mh.Rais akiwa Kagera amewaambia wanakagera, waanga wa tetemeko na wananchi kwa ujumla ukweli uliyomchungu na usiopingika kuwa serikali haiko kwa ajili ya mtu mmoja mmoja bali kwa maslahi ya jumla ya wananchi wote.

Sisi watanzania tulikuwa tumezoea sana maisha malaini sana, ya msaada, tegemezi na kulialia na kununa, mfn. mtu akiwa mfanyakazi anakuwa na tegemezi wengi sana mjini na kijijini wote wanataka salary yake ika wengine sasa hawafanyi kazi kisa kaka, dada, mjomba n.k yupo bandari, TRA, TANESCO n.k

Kila mtu sasa afanye kazi na siyo kumtegemea mtu au mambo ya kona kona ili usawa uwepo na nchi isongeee. Nchi inaendelea kwa kuwa na producers wengi, sisi tuna production man-force kubwa ila wategeaje na wazembe.

Ifike wakati sasa ukweli usemwe hata kama ni chungu na ina kera kiasi gani. Awamu iliyopita watu walipenda kusikia uongo na maneno ya kuremba na kubembelezwa.
==========

JAMII LEO
 
KANYAMA

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
884
2,000
Wasalaam,

Juzi hotuba ya Mh.Rais kuna baadhi ya watu wanaiponda, mimi nashangaaa sana hivi watanzania tukoje? Nchi hii jamani tulifikia pabaya sana kwa serikali kuendeshwa kwa ghiliba, uongo, udanganyifu, unafiki, na kupakaziana bila kuwa wakweli, tukaomba tumpate Rais atakae kuwa mkweli, asiyeogopa lawama za ndugu, marafiki, na wananchi ili tusonge na kutoka tulipo.

Juzi Mh.Rais akiwa Kagera amewaambia wanakagera, waanga wa tetemeko na wananchi kwa ujumla ukweli uliyomchungu na usiopingika kuwa serikali haiko kwa ajili ya mtu mmoja mmoja bali kwa maslahi ya jumla ya wananchi wote.

Sisi watanzania tulikuwa tumezoea sana maisha malaini sana, ya msaada, tegemezi na kulialia na kununa, mfn. mtu akiwa mfanyakazi anakuwa na tegemezi wengi sana mjini na kijijini wote wanataka salary yake ika wengine sasa hawafanyi kazi kisa kaka,dada,mjomba n.k yupo bandari, tra,tanesco n.k kila mtu sasa afanye kazi na siyo kumtegemea mtu au mambo ya kona kona ili usawa uwepo na nchi isongeee. Nchi inaendelea kwa kuwa na producers wengi, sisi tuna production man-force kubwa ila wategeaje na wazembe.

Ifike wakati sasa ukweli usemwe hata kama ni chungu na ina kera kiasi gani. Awamu iliyopita watu walipenda kusikia uongo na maneno ya kuremba na kubembelezwa.
Bora useme wewe mkuu manake nimeyasema sana hayo maneno nahisi kuna wafia dini wa Ufipa wakiibuka hapa utadhani msimu wa senene kwa jinsi wanavyopayuka. Lwakatare kayasema maneno yako pia
 
Lancanshire

JF-Expert Member
Sep 20, 2014
14,019
2,000
Wasalaam,

Juzi hotuba ya Mh.Rais kuna baadhi ya watu wanaiponda, mimi nashangaaa sana hivi watanzania tukoje? Nchi hii jamani tulifikia pabaya sana kwa serikali kuendeshwa kwa ghiliba, uongo, udanganyifu, unafiki, na kupakaziana bila kuwa wakweli, tukaomba tumpate Rais atakae kuwa mkweli, asiyeogopa lawama za ndugu, marafiki, na wananchi ili tusonge na kutoka tulipo.

Juzi Mh.Rais akiwa Kagera amewaambia wanakagera, waanga wa tetemeko na wananchi kwa ujumla ukweli uliyomchungu na usiopingika kuwa serikali haiko kwa ajili ya mtu mmoja mmoja bali kwa maslahi ya jumla ya wananchi wote.

Sisi watanzania tulikuwa tumezoea sana maisha malaini sana, ya msaada, tegemezi na kulialia na kununa, mfn. mtu akiwa mfanyakazi anakuwa na tegemezi wengi sana mjini na kijijini wote wanataka salary yake ika wengine sasa hawafanyi kazi kisa kaka,dada,mjomba n.k yupo bandari, tra,tanesco n.k kila mtu sasa afanye kazi na siyo kumtegemea mtu au mambo ya kona kona ili usawa uwepo na nchi isongeee. Nchi inaendelea kwa kuwa na producers wengi, sisi tuna production man-force kubwa ila wategeaje na wazembe.

Ifike wakati sasa ukweli usemwe hata kama ni chungu na ina kera kiasi gani. Awamu iliyopita watu walipenda kusikia uongo na maneno ya kuremba na kubembelezwa.
Yeye alikuwa wapi wakati huo nchi inafika tulipofika?
 
nelly nashon

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
242
1,000
Si kila ukweli unamanufaa kwa umma, ukweli mwingine uongeza chuki na hasira, huwezi kushindwa kuongea maneno ya faraja kwa wafiwa na wahanga eti unasema ukweli, angekuwa mkweli angesema toka mwanzo kuwa pesa tunazochanga nizakujenga miundombimu, katulia tuchange ndo atuambie ukweli baadae....
 
Mkuu hayo maneno ya faraja ndo maana tunakawia kufika aisee, Hivi kwani akusema wewe haukua nchini wewe labda, Alisema kupitia mkuu wa mkoa Kagera. Wacha serikali i deal na Social -infrastructure issues maana ndo development catalyst.
 
getrusa

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
2,153
2,000
Si kila ukweli unamanufaa kwa umma, ukweli mwingine uongeza chuki na hasira, huwezi kushindwa kuongea maneno ya faraja kwa wafiwa na wahanga eti unasema ukweli, angekuwa mkweli angesema toka mwanzo kuwa pesa tunazochanga nizakujenga miundombimu, katulia tuchange ndo atuambie ukweli baadae....
Ulichanga tsh ngapi?! Nijuavyo debe tupu haliachi kupiga kelele..
 
Jan 27, 2015
50
125
Yeye alikuwa wapi wakati huo nchi inafika tulipofika?
Simple question to you< wewe sasa hv hauna any power in the government unaweza ukafanya kitu au maamuzi yoyote unayoona yanakufaa au yanafaa wananchi bila wenye power kukubaliana na wewe? Ebu tingisha kichwa kaka ili uwe fresh aisee. Tujiulize tena hv sisi watanzania tunataka nini?
 
CHARMILTON

JF-Expert Member
May 30, 2015
6,637
2,000
Inaonekana bado kuna nafasi ipo wazi......soon Msigwa atapaa hewani na jina teule.
 
Jan 27, 2015
50
125
Inaonekana bado kuna nafasi ipo wazi......soon Msigwa atapaa hewani na jina teule.
Kaka wengine tumejiajiri tunapiga kazi zetu ndo maana kifikra tuko hai! tubadilikeni jamani hzo zilikuwa hawamu zilizopita kaka, hv sasa ni Prof and Dr. mimi siko nina mambo yangu. ila weka fikra yako iwe huru kaka uta enjoy sana.
 
Mfukua Makaburi

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,315
2,000
Tatizo Magufuli anasema ukweli ambao hautakiwi kusemwa hadharani! Watanzania wamezoea uupindishe kidogo ukweli ndo watakuelewa
Ukweli upi anaousema magufuri?

Aliwahi kusema kuna watanzania flani walikua wanatengeneza milioni 7 kwa dakika, kwa akili yako unadhani hilo jambo linawezekana hapa Tanzania hata kwa siku moja tu? 7,000,000x1,440=10,080,000,000x7=70,560,000,000 kwa wiki.

Alisema anasimamisha ajira miezi miwili, je ni kweli sasa ni miezi miwili?

Magu ni mkweli kwa lipi kwa mfano???
 
Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,357

akasema sukari buku jero sijui atawanyanganya sukari atupatie sukari holaa
akasema tutaishi kama malaika holaaa
holaa akaapa kupeleka pesa kwa wahanga holaa tehetehe
ajira holaa
uchumi umerudi 0
 
Lancanshire

JF-Expert Member
Sep 20, 2014
14,019
2,000
Simple question to you< wewe sasa hv hauna any power in the government unaweza ukafanya kitu au maamuzi yoyote unayoona yanakufaa au yanafaa wananchi bila wenye power kukubaliana na wewe? Ebu tingisha kichwa kaka ili uwe fresh aisee. Tujiulize tena hv sisi watanzania tunataka nini?
Mtu alikuwa waziri toka mwaka 1995 unasema alikuwa hana power? Kwanini hakujiuzulu kama hakupendezwa na utendaji wa serikali zilizopita? Ukisikia unafiki ndio huu halafu eti anasema sitafukua makaburi!
 
cumins

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
979
500
Wasalaam,

Juzi hotuba ya Mh.Rais kuna baadhi ya watu wanaiponda, mimi nashangaaa sana hivi watanzania tukoje? Nchi hii jamani tulifikia pabaya sana kwa serikali kuendeshwa kwa ghiliba, uongo, udanganyifu, unafiki, na kupakaziana bila kuwa wakweli, tukaomba tumpate Rais atakae kuwa mkweli, asiyeogopa lawama za ndugu, marafiki, na wananchi ili tusonge na kutoka tulipo.

Juzi Mh.Rais akiwa Kagera amewaambia wanakagera, waanga wa tetemeko na wananchi kwa ujumla ukweli uliyomchungu na usiopingika kuwa serikali haiko kwa ajili ya mtu mmoja mmoja bali kwa maslahi ya jumla ya wananchi wote.

Sisi watanzania tulikuwa tumezoea sana maisha malaini sana, ya msaada, tegemezi na kulialia na kununa, mfn. mtu akiwa mfanyakazi anakuwa na tegemezi wengi sana mjini na kijijini wote wanataka salary yake ika wengine sasa hawafanyi kazi kisa kaka,dada,mjomba n.k yupo bandari, tra,tanesco n.k kila mtu sasa afanye kazi na siyo kumtegemea mtu au mambo ya kona kona ili usawa uwepo na nchi isongeee. Nchi inaendelea kwa kuwa na producers wengi, sisi tuna production man-force kubwa ila wategeaje na wazembe.

Ifike wakati sasa ukweli usemwe hata kama ni chungu na ina kera kiasi gani. Awamu iliyopita watu walipenda kusikia uongo na maneno ya kuremba na kubembelezwa.
Ni bora uambiwe ujitambue kuliko kupewa ahadi za uongo.
U.A.E palitokea mafuliko makubwa magari mengi ya raia na wale ambao sio raia yalihalibika mengine kupotea.
Pamoja na utajili wake hakuna mtu aliyelipwa gari,au kutengenezewa nyumba .bali selikali yao ilitengeneza miundo mbinu mipya kudhibiti hali hiyo.
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
8,050
2,000
Wasalaam,

Juzi hotuba ya Mh.Rais kuna baadhi ya watu wanaiponda, mimi nashangaaa sana hivi watanzania tukoje? Nchi hii jamani tulifikia pabaya sana kwa serikali kuendeshwa kwa ghiliba, uongo, udanganyifu, unafiki, na kupakaziana bila kuwa wakweli, tukaomba tumpate Rais atakae kuwa mkweli, asiyeogopa lawama za ndugu, marafiki, na wananchi ili tusonge na kutoka tulipo.

Juzi Mh.Rais akiwa Kagera amewaambia wanakagera, waanga wa tetemeko na wananchi kwa ujumla ukweli uliyomchungu na usiopingika kuwa serikali haiko kwa ajili ya mtu mmoja mmoja bali kwa maslahi ya jumla ya wananchi wote.

Sisi watanzania tulikuwa tumezoea sana maisha malaini sana, ya msaada, tegemezi na kulialia na kununa, mfn. mtu akiwa mfanyakazi anakuwa na tegemezi wengi sana mjini na kijijini wote wanataka salary yake ika wengine sasa hawafanyi kazi kisa kaka,dada,mjomba n.k yupo bandari, tra,tanesco n.k kila mtu sasa afanye kazi na siyo kumtegemea mtu au mambo ya kona kona ili usawa uwepo na nchi isongeee. Nchi inaendelea kwa kuwa na producers wengi, sisi tuna production man-force kubwa ila wategeaje na wazembe.

Ifike wakati sasa ukweli usemwe hata kama ni chungu na ina kera kiasi gani. Awamu iliyopita watu walipenda kusikia uongo na maneno ya kuremba na kubembelezwa.
mbona huo ukweli hausemwi wakati wa kampain.
siku mkipoteza madaraka mtajuta kilio cha kusaga meno. mnatuona sisi wananchi mafala enhe kwa kuwa mmeishapata. timepigwa na tetemeko. ukafuatia ukame. wakati tuhangaika kujenga nyumba tunaaambiwa tukalime hakuna chakula cha msaada sisi tutakuwa wageni wa nani nchi hij? ee mungu twende wapi Sie??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom