DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,628
Wanaukumbi
Lengo la Mada hii ni kuulizia walipo Legal and Human Right Centre kutoa hata neno moja lisemalo 'sio tu haki itendeke.. ionekane ikitendeka.'
Itakuwa sio kuingilia mhimili ule hapana.. ama mnawasubiri Amnesty International waseme, ama Human Right Watch watoe maneno haya juu ya Mbunge wetu Mpendwa Godbless Lema?
Yupo wapi Hellen Kijo Bisimba aropoke hata kidogo katika hili?
Ni hayo tu kwa Ufupi.