Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Mbunge wa zamani wa Kahama, James Lembeli, amesema kuwa hakuna neema ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), hivyo wanaoendela kukiunga mkono chama hicho wasitarajie maisha bora.
Ameyasema hayo katika uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Isagehe wilayani Kahama, Lembeli alirudia kusema kilichomtoa CCM na kujiunga na Chadema ni kutokana na kukithiri kwa rushwa na unafiki ndani ya chama tawala.