Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari Tanzania ! Pole kwa uchovu wa hapa na pale kwasababu ya kulitumikia Taifa letu hili la Tanzania. Poleni sana wanasiasa na watu wengine wenye njaa za madaraka na Mamlaka kwa mtazamo...
6 Reactions
44 Replies
824 Views
Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi...
3 Reactions
58 Replies
1K Views
Licha ya Mitandao ya Kijamii kurahisisha mawasiliano na kupatikana kwa taarifa katika jamii, imesaidia pia kukuza demokrasia kwa kuwawezesha wananchi kutoa maoni, kuhoji viongozi, na kushiriki...
0 Reactions
2 Replies
313 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameyesema hayo leo Februari 16, 2026 wakati akitoa tathmini ya ziara ya Kikazi ya Rais Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
16 Replies
300 Views
Zama zetu wakati tunajifunza matumizi ya Lugha ya kiingereza, kuna msemo wengi wetu tuliushika kirahisi na kwa haraka mno. Msemo huo ni "vice versa is true" Matumizi ya huu msemo yalishika kasi...
4 Reactions
2 Replies
172 Views
Ukiacha maswali juu ya usalama na ufanisi wa kuweka mradi wowote wa kijamii maeneo ya Jangwani, kumekuwa na mkanganyiko juu ya ni mradi gani hasa unajengwa maeneo hayo. Juzi nimemsikia Samia...
3 Reactions
16 Replies
363 Views
Kauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha. Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe...
33 Reactions
87 Replies
2K Views
Dunia nzima inajua kuwa Samia ndiye mama w demokrasia nchini; hasa baada ya kuruhusu vyama vingi ku resume kazi zao baada ya kufungiwa na mtangulizi wake, JPM. Kuwarudisha nchini akina Lissu...
1 Reactions
89 Replies
972 Views
  • Redirect
Tumezoea viongozi wetu na vyombo vya habari vya Bongo hutoa taarifa pale wanapokutana na viongozi mbalimbali wa kimataifa. Nimejaribu kutafuta habari ya mkutano wa Waziri wa Mambo ya Nje na...
4 Reactions
– Replies
– Views
Tununuapo gesi huwa mitungi inapimwa kwa kutumia vimizani vya kila aina visivyo na ubora, sasa wakati umefika wa kuondokana na hivyo vimizani vinavyotupunja ujazo na mamlaka ilazimishe makampuni...
7 Reactions
9 Replies
385 Views
Na. M. M. Mwanakijiji https://www.youtube.com/watch?v=4mGDNsyA53g Nilipata nafasi siku hizi mbili tatu kukutana na watu muhimu sana kwenye sakata la mauaji ya Oktoba 29-Novemba... Kitu ambacho...
59 Reactions
87 Replies
3K Views
Kwa hiyo sasa hivi watanganyika wakiwa na shida na Rais wamfate huko kwao zanzibari wakiwa nabarua za utambulisho kutoka Kwa wenyeviti wa mitaa? Swali jingine, je matumizi ya statehouse ambazo ni...
10 Reactions
23 Replies
753 Views
Daa Tanzania will never be the same again. Uko TikTok Kuna jamaa anajiita Habi, huyu mtu ana kiswahili Fulani hivi Cha kimagaribi. Jamaa ana confidence hatari saana lakini pia anaonekana ana buck...
54 Reactions
228 Replies
13K Views
Katika mambo ambayo yameigharimu sana Tanganyika na kuidumaza huenda hata sio siasa ya ujamaa zaidi bali siasa za kikanda(geopolitics) za Nyerere ambazo hazikuzingatia maslahi ya uchumi wa...
7 Reactions
28 Replies
596 Views
Roho ilinitanga sana. Nikamkumbuka Mzee kibao na mateso waliyompa. Nikamuombea Misa apumzike pema Peponi. Kifo Ni Kifo hutakuja kupata mwisho mwema! MUNGU sio Athumani! Atajibu Misa Yangu!
6 Reactions
24 Replies
356 Views
Ndugu zangu Watanzania, Usishindane na aliyebarikiwa na Mungu, huwezi kumshusha aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu,Huwezi Kumpaka matope na kumchafua aliyepewa kibali na Mungu . Rais Samia kwa...
2 Reactions
36 Replies
620 Views
Rais wa Namibia ⁦Netumbo Ndemupelila Nandi-Ndaitwah na Rais wa zamani wa Tanzania ⁦Jakaya Kikwete Mkutano wa Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) Jijini Addis Ababa⁩.[/URL]
3 Reactions
41 Replies
1K Views
Ni vizuri Watanzania tupiganie kwa namna yeyote ile hadi tupate Katiba mpya kabla ya muhula wa rais Samia. Katika katiba hii lazima kipengee cha kiongozi kuweza kushtakiwa kiwemo. Tena kipengee...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Wanasiasa wa Tanzania wanalakujifunza kuhusu issue ya Epstein. Mjue kuwa mambo yenu machafu mnayofanya ili mbaki madarakani kama mauaji ya October 29 na ushetani mwingine mwingi siku moja...
10 Reactions
19 Replies
502 Views
Aisee hii habari imenisikitisha na kufanya nifikirie mara 2 mbili kwamba hizi Nchi za watu weusi zinaweza kitu gani hasa Cha maana zaidi ya kuzaana? Yaani Afrika Kusini,Kenya na Tanzania ndio...
0 Reactions
1 Replies
232 Views
Back
Top Bottom