Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu kwa ajili ya kufadhili miradi ya kimkakati ya serikali...
15 Reactions
142 Replies
3K Views
Tanzania iko juu ya mstari wa rushwa chini ya jangwa la Sahara na ya pili kwa Afrika mashariki ikizibwagwa Kenya, Uganda, kwa kupambana na rushwa na uwazi. SOMA TAARIFA YA TRANSPARENCY...
1 Reactions
14 Replies
352 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tumepata Rais Sasa. Kwa hakika Tumepata nahodha hodari ,kwa hakika tumepata Jemedari hodari. Kwa hakika watanzania tuna kiongozi mbele yetu tunayepaswa...
0 Reactions
2 Replies
217 Views
https://www.nbcnews.com/video/two-ice-agents-on-leave-after-appearing-to-make-untruthful-statements-about-shooting-257682501675 Compare and contrast with Serikali yetu ya majambazi.
1 Reactions
1 Replies
223 Views
Alipochaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, Marehemu Ally Hassan Mwinyi alikabidhiwa fagio la chuma na wazee wa Dar es salaam ili alitumie kusafishia uchafu serikalini. Jee lile fagio bado lipo Ikulu?
1 Reactions
7 Replies
224 Views
Waziri mkuu Mwigulu Nchemba ametoa shilingi laki moja kwa waathirika wa hifadhi ya Bondo iliyoko kijiji cha Mswaki wilaya ya Kilindi Tanga kama nauli ya kuendea Korogwe Tanga kusikiliza mgogoro...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Weredi umepungua jeshi la polisi limejaa vilaza kibao na wamepewa vyeo vya juu sana vya kuchunguza kesi unachunguzaje kesi wakati hujui sheria ya hiyo kesi ?
4 Reactions
4 Replies
388 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amejibu kauli ya Nape Nnauye kuhusu chama hicho kuondoka madarakani akisema "Ndani ya CCM anaweza kuondoka yeye, lakini...
0 Reactions
6 Replies
374 Views
Barua ya wazi kwa mkuu wa Traffic Police Kuna zoezi limefanyika Jumamosi ya tarehe 14.02.2026 - Jangwani Road na ni zoezi la dhuluma na kuibia wananchi ambao tayari wanaumizwa na mifumo...
4 Reactions
3 Replies
340 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, ljumaa Februari 13, 2026 inatarajiwa kuendelea na Kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu katika...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Laiti watanzania wangetambua tusipopambana na hii regime Ovu iliyopo kwenye nchi yetu hakuna aliye salama Hakuna ubishi kwamba Enzi za Magufuli matendo haya ndipo yaliposhamiri Kwa wingi na Kwa...
8 Reactions
37 Replies
573 Views
DeletedMember281674
Mimi siyo Mtabiri na Wala siyo Nabii. Ila kwa mwenendo huu wa hii kesi ya Tundu Lissu very soon tutaambiwa waandishi WA habari hawatakiwi kuitangazia kwa Umma, kwa kisingizio inaharibu mwenendo wa...
5 Reactions
9 Replies
362 Views
Nyuzi zote hizi ni wale chawa washamba washamba wa mama anaupiga mwingi, na ni kikundi maalumu kinachojaribu kutaka kuangalia upepo wa watanganyika, bahati mbaya kabisa hatujaona uzi wowote...
7 Reactions
15 Replies
346 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amesema hayo Februari 14, 2026, wakati akihojiwa na Chief Odemba kupitia kipindi cha Medani Kuu. "Ushawishi wa CCM...
1 Reactions
7 Replies
285 Views
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗔𝗧𝗢𝗔 𝗪𝗜𝗧𝗢 𝗪𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗜𝗥𝗜𝗞𝗜𝗔𝗡𝗢 𝗕𝗢𝗡𝗗𝗘 𝗟𝗔 𝗠𝗧𝗢 𝗡𝗜𝗟𝗘 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), ametoa wito wa kuimarishwa kwa ushirikiano...
1 Reactions
1 Replies
198 Views
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imetangaza kuwa matokeo ya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa Chama cha Wananchi (CUF) uliofanyika Desemba 2024 ni batili na kuelekeza chama hicho...
1 Reactions
7 Replies
417 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amesema CHADEMA haina ukubwa huo, sasa hivi kimepata Platiform kinasemea Mahakamani na Misibani, ikitokea Msiba kwao...
0 Reactions
2 Replies
257 Views
Ile jeuri na kiburi ya kisiasa alokua nayo akiwa CCM bado anayo tena huko ACT Wazalendo? Ama kwa hakika samaki hawezi kuishi nchi kavu. Ngebe zake zote hakuna tena na amekua funzo na darasa la...
2 Reactions
29 Replies
471 Views
Ni baada ya wahanga kutishia kumpeleka mahakamani. Yericko Nyerere: IMEDHIHIRIKA TAARIFA HII HAIKUWA SAHIHI. Kwa msingi huo, Naomba nitumie nafasi hii kuomba radhi juu ya maoni yangu kwenye...
5 Reactions
32 Replies
929 Views
Back
Top Bottom