Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,924
- 50,972
Zama zetu wakati tunajifunza matumizi ya Lugha ya kiingereza, kuna msemo wengi wetu tuliushika kirahisi na kwa haraka mno. Msemo huo ni "vice versa is true"
Matumizi ya huu msemo yalishika kasi na yalifanyika kwenye kila maelezo bila ya kujua kwa kina mantiki ya msemo wenyewe.
Leo hii unaposikia CCM wanasema watanzania wanachochewa kuandamana au kuipinga Serikali, kinyume chake ni kwamba CCM wanasema watanzania hawawezi kuandamana au kuipinga Serikali.
Unapoona CCM wanasema kuna watu wanalipwa ili kukosoa mambo maovu yanayofanywa na CCM, kinyume chake ni kwamba CCM wanasema watanzania hawana uwezo wa kutambua mambo maovu.
CCM wanaposema Tanzania tunaonewa wivu kwa rasirimali tulizo nazo, kinyume chake ni kwamba hizo rasirimali siyo chanzo cha CCM kupingwa.
Kwa maelezo ya wana CCM ni kwamba watanzania hawana uwezo wa kutambua maovu wanayotendewa na CCM mpaka wachochewe na kulipwa.
Kwa maana nyingine CCM inawaona watanzania ni Mazwazwa!