Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kesi ya Mchongo ambayo ulioanza labda ilionekana ina mashiko, lakini jinsi inavyo endelea, inaonyesha jeshi letu la polisi ni watu wasio jua kupambanua taarifa na matukio, pia Offisi ya mwendesha...
1 Reactions
3 Replies
340 Views
Ni kinyume na katiba ya JMT shahidi fiche kufichwa kwenye boksi kama kuku.
4 Reactions
12 Replies
522 Views
Credit jambo tv Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Mwanza, imetoa uamuzi wa kihistoria kwa kuzuia upande wa Jamhuri kutumia mashahidi wa kificho au siri katika kesi zote za jinai...
8 Reactions
16 Replies
488 Views
Ni wazi sura na taswira ya Chadema kwa sasa inajionyesha wazi kwamba ni kichaka cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magaharibi, wanaokusudia kuvuruga umoja, amani na mshikamano miongoni mwa...
0 Reactions
30 Replies
416 Views
Travelling all over the world kumkingia Kifua mteuzi wake, ametumià mabilioni mangapi? Kipi amekifanikisha cha kuwasaidia watanganyika? ( Maana wa zenji hawana shida , hela si zao). Anajua kuwa...
4 Reactions
3 Replies
193 Views
Mama Samia aliharibu baada ya kupuuzwa nguvu ya kupendwa na Watanzania. Mwaka 2021-2022 Mama Samia alikuwa anapendwa sio tu Tanzania lakini hata Duniani. Tuliona mialiko mingi sana kutoka nchi...
1 Reactions
0 Replies
211 Views
Kama taifa tunafaa kuvipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kufanikiwa kudhibiti uhuni ule wa wahaini, ambao ulipangwa kwa ustadi mkubwa na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi waliojificha ndani...
0 Reactions
0 Replies
126 Views
Ni jambo la kawaida Rais anapotoka nje ya nchi wakati wa kuondoka anasindikizwa na Makamu wa Rais na anaporejea anapokelewa na Makamu wa Rais mbona kwa Nchimbi inakuwa tofauti shida ni nini? au...
1 Reactions
12 Replies
343 Views
Serikali ya Tanzania kama kawaida yake wanachukulia vitu pooa. Ata kabla ya tarehe 29,walikuwa wanabwatuka Kwa kejeri, dharau na masimango kuwa hakuna atakae andamana ila tarehe 29, tulishuhudia...
10 Reactions
56 Replies
2K Views
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza wajumbe wa Kamati Mapokezi na Kamati za Ujenzi za mradi wa ujenzi wa ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza wakamatwe na kuhojiwa mara moja ili watoe...
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Hatimaye CAF imethibitisha kuwa Tanzania itakuwa miongoni mwa waandaaji wa AFKON. Kwakuwa serikali iliyopo ni HARAMU, natoa wito wa maandamano yasiyo na kikomo kuanzia tarehe ya uzinduzi wa AFCON...
6 Reactions
8 Replies
395 Views
Waziri wa Mambo ya Nje, Mohamed Thabit Kombo, amesema "Viongozi wa Afrika wamempa moyo Rais Samia kwa yaliyotokea oktoba 29, na wamempongeza kwa ushindi Mnono alioupata kwenye uchaguzi mkuu wa...
2 Reactions
22 Replies
766 Views
Nigusie kwenye issue mbili tu kutazama udhaifu uliopo ndani ya viongozi wa CHADEMA, LISSU excluded. LISSU namheshimu sana na kumpenda. Hana sifa za kuishi kwa fedha chafu. Ni mzalendo kweli kweli...
1 Reactions
5 Replies
288 Views
~ Yameipa heshima Tanzania Kimataifa kama kinara wa mageuzi ya Afya Afrika Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, sekta ya afya nchini Tanzania imepitia mageuzi makubwa ya kihistoria. Chini...
0 Reactions
1 Replies
223 Views
"Chadema na watanzania tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia itakayowekwa chini ya uangalizi wa taasisi huru za kimataifa kwa kuwa serikali haina uhalali wowote CHADEMA inataka...
2 Reactions
7 Replies
460 Views
Inatia hasira na huruma.
3 Reactions
23 Replies
860 Views
Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1984, Tanzania ilikuwa na salio la 0 (SIFURI) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Ni lini mkopo wa IMF ulilipwa kikamilifu na asilimia 100? Mkopo ulikuwa sifuri...
9 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari Tanzania ! Pole kwa uchovu wa hapa na pale kwasababu ya kulitumikia Taifa letu hili la Tanzania. Poleni sana wanasiasa na watu wengine wenye njaa za madaraka na Mamlaka kwa mtazamo...
6 Reactions
44 Replies
824 Views
Back
Top Bottom