Salaam Wakuu,
Mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Watu wengi tunauchukulia poa Uchaguzi wa hivi kwa kutokuelewa hasa umuhimu na majukumu ya Serikali za Mitaa.
Kabla ya kufika...
Salam ndugu zangu,
Mwaka mwingine wa uchaguzi wa Serikali za Mtaa umefika. Ni wazi kwamba viongozi wetu tulionao walitoa ahadi mbalimbali Uchaguzi uliopita tukawaamini na kuwapa nafasi.
Vipi...
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya makada wa CCM wameanza kutoa kauli tata ambazo zinaashiria kuwa vyovyote itakavyokuwa lazima CCM ibaki Madarakani...
Serikali ya Tanzania imeanza kuwajengea uwezo mawakili wake ili kuzikabili kesi zitakazojitokeza baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Mafunzo kwa...
📍Ushetu - WANANCHI JITOKEZE UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA-MBUNGE CHEREHANI
Wananchi wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka...
Sitaki kuwapotezea muda, naingia moja kwa moja kwenye mada .
1. Tamisemi isijihusishe na lolote kwenye uchaguzi, hii ni kwa sababu ndani ya Tamisemi wamejaa wateule wa Rais ambaye ni Mwenyekiti...
Tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ni vyema vyama vyote vya upinzani vitakavyoshiriki vikaanza maandalizi mapema kabla giza halijazama.
Wote tunakumbuka...
Je, haiwezekani kuahirisha uchaguzi wa serikali za mitaa mpaka 2026?
Hii itawezesha uchaguzi huo kusimamiwa na Tume Mpya Huru ya Uchaguzi badala ya Tamisemi.
Nadhani Watanganyika tusiwaige...
Watu wanasema zitatokea vurugu katika Chaguzi za 2024 na 2025 ndani ya CCM. Watu wanasema Rais Samia akipata nomination 2025, hawezi kupata 2030.
Wengine wanabisha kwamba Rais Samia atapata...
Utashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu wa 2024?
Utashiriki kama mgombea au mpiga kura?
Kama hautashiriki sababu gani za msingi zitakufanya usishiriki?
Tukumbuke serikali ya mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.