Maoni yangu kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi , TAMISEMI isihusike na lolote kuhusu uchaguzi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,362
Sitaki kuwapotezea muda , naingia moja kwa moja kwenye mada .

1. Tamisemi isijihusishe na lolote kwenye uchaguzi , hii ni kwa sababu ndani ya Tamisemi wamejaa wateule wa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM

Miongoni mwa waliomo Tamisemi yumo Dr Mahera , huyu ni mtuhumiwa pili wa Kuvuruga Uchaguzi wa 2020 , mtuhumiwa wa kwanza ni Dr Magufuli .

2..Ma DED si tu kwamba wasiruhusiwe kusimamia Uchaguzi , bali hawa hawatakiwi hata kukanyaga kwenye eneo la kituo cha kupigia kura , hawa ni Wateule wa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM na ni makada wa kufa na kuzikana wa ccm , Yaliyotendwa na Kagurumujuli hadi kuuawa kwa Akwilina hatujasahau .

Kwa vile tumeamua kuunda upya eneo hili ili kuondoa wizi wa kura , Upendeleo na mauaji basi eneo hili ambalo ni adui wa Taifa lisijihusishe wala kuhusishwa na Usimamizi wa Uchaguzi wowote ule .

ITAENDELEA .......
 
Naunga mkono100%

Sent from my SM-A546E using JamiiForums mobile app
 
Hata kama wataamua kuwa chadema na wafuasi wao wasimamie uchaguzi sioni kama mnaweza shinda, chama kilichopoteza mwelekeo kamwe hakiwezi aminiwa nawananchi,

Ni mwananchi yupi kwa hali ilivyo sasa anaweza poteza au kuharibu kura yake kwa kuwapigia chadema!?
 
Sitaki kuwapotezea muda , naingia moja kwa moja kwenye mada .

1. Tamisemi isijihusishe na lolote kwenye uchaguzi , hii ni kwa sababu ndani ya Tamisemi wamejaa wateule wa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM

Miongoni mwa waliomo Tamisemi yumo Dr Mahera , huyu ni mtuhumiwa pili wa Kuvuruga Uchaguzi wa 2020 , mtuhumiwa wa kwanza ni Dr Magufuli .

2..Ma DED si tu kwamba wasiruhusiwe kusimamia Uchaguzi , bali hawa hawatakiwi hata kukanyaga kwenye eneo la kituo cha kupigia kura , hawa ni Wateule wa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM na ni makada wa kufa na kuzikana wa ccm , Yaliyotendwa na Kagurumujuli hadi kuuawa kwa Akwilina hatujasahau .

Kwa vile tumeamua kuunda upya eneo hili ili kuondoa wizi wa kura , Upendeleo na mauaji basi eneo hili ambalo ni adui wa Taifa lisijihusishe wala kuhusishwa na Usimamizi wa Uchaguzi wowote ule .

ITAENDELEA .......
Hii ni akili kubwa.
Pata maua yako na huu ndio ukweli.
Nakubaliana na hoja hii .
 
Hata kama wataaumua kuwa chadema na wafuasi wao wasimamie uchaguzi sio kama mnaweza shida, chama kilichopoteza mwelekeo kamwe hakiwezi aminiwa nawananchi,

Ni mwananchi yupi kwa hali alivyo sasa anaweza poteza au kuharibu kura yake kwa kuwapigia chadema!?
Tume Huru ya uchaguzi si ya Chadema , tunachotaka ni mshindi kupatikana kwa haki , uwe unatumia akili unapoandika hapa jf
 
I

Mkuu wewe umetumia akili gani kusema kuwa tamisemi isihusike na uchaguzi bila kutaja ni wapi wasihusike?

Maana utasema wizara ya afya,elimu mwisho wa siku hao hao mwajiri wao ni tamisemi
 
Haya ni maoni yangu , nimeweka na vielelezo yakiwemo mauaji , na uhusika wa Mahera na kagurumujuli , wewe pia unaruhusiwa kuweka yako
 
Namtafuta lisu ,nimwambie namna nilivofanikisha kitongoji mmoja wachadema kushinda zidi ya ccm mwaka 2014

Mana ilikuwa 80 kwa 80 ,nilichofanya chadema mkashinda kura 4 ,nilikotoa ndo nataka nimpate LISU aambiwe
 
Sitaki kuwapotezea muda , naingia moja kwa moja kwenye mada .

1. Tamisemi isijihusishe na lolote kwenye uchaguzi , hii ni kwa sababu ndani ya Tamisemi wamejaa wateule wa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM

Miongoni mwa waliomo Tamisemi yumo Dr Mahera , huyu ni mtuhumiwa pili wa Kuvuruga Uchaguzi wa 2020 , mtuhumiwa wa kwanza ni Dr Magufuli .

2..Ma DED si tu kwamba wasiruhusiwe kusimamia Uchaguzi , bali hawa hawatakiwi hata kukanyaga kwenye eneo la kituo cha kupigia kura , hawa ni Wateule wa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM na ni makada wa kufa na kuzikana wa ccm , Yaliyotendwa na Kagurumujuli hadi kuuawa kwa Akwilina hatujasahau .

Kwa vile tumeamua kuunda upya eneo hili ili kuondoa wizi wa kura , Upendeleo na mauaji basi eneo hili ambalo ni adui wa Taifa lisijihusishe wala kuhusishwa na Usimamizi wa Uchaguzi wowote ule .

ITAENDELEA .......
Yote yalishasemwa na Chadema since 1995. CCM sidhani kama watasikia. Time will tell!
 
Hivi kwa hali ilivyo ngumu mtaani sasa ,CCM wanashinda kwa kura za mwananchi yupi?!
Anajua Sana ndio maana hawatakubari Mkakati wowote wa kurudisha nyuma makada wa kuiba kura.. Ila wajiandae maana mkao wananchi waliokaa ni kupiga chini yeyote wa kijani😁
 
Back
Top Bottom