Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Kwa kiwango kikubwa, majimbo yaliyochukuliwa na CHADEMA yanaonesha ni matunda ya uwekezaji wa Dr. Slaa na sio ujio wa Lowassa. Nadhani CHADEMA asilia watakuwa na majibu kuhusu asset na...
0 Reactions
66 Replies
10K Views
Mkianza kazi, kupitia vikao vyenu vya Baraza la Madiwani kwa kila Manispaa, agizeni maafisa ardhi wawapitie ramani za maeneo yenu na muwaagize wa-identfy maeneo yote ambayo hayakuvunjwa na ambayo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanini nasema hivyo haiwezekani wenzetu ambao tunawaita Watanzania na tupo nao kwa shida na raha leo hii hawajapata rais wao na wawakilishi wakati sisi huku Tanzania Bara tunaendelea kuchaguana...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Heshima Kwenu, Inaonekana Kama Taasisi Za Serikali Hazina Vipaumbele Au Bunge Limeishiwa. Katika Tabia Ya Kufuja Fedha Benki Ya NMB Imeombwa Na Bunge La JMT 'mchango Wa Tafrija'. Jumla Ya Tsh...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Uvumilivu muda mwingine ni kielelezo cha udhaifu,mimi ndugu kabla ya yote naomba kueleweshwa tu kuwa hivi Maalimu Seifu wa CUF akipata jaji na akaapishwa uraisi rasmi wa Zanzibar pana tatizo gani...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
SUPPRESSION OF DISSENT occurs when an individual who is more powerful than another tries to directly or indirectly censor, persecute or otherwise oppress the other party, rather than engage with...
9 Reactions
117 Replies
10K Views
Wakati mwingine maisha ni kitendawili kikubwa ambacho kinakufanya usijue wewe utakuwa nani kesho! Kesho unaweza kuwa chochote ili mradi unaendelea kuishi. Si kila kesho inakuwa na mafanikio au...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Katika mikoa ambayo CCM imepata kura nyingi ni mkoa wa Morogoro. Hata hivyo,baada ya uchaguzi,hivi sasa wafugaji zaidi ya 700 ambao ni wakazi wa kijiji cha Dakawa mkoani Morogoro,wamepewa siku 29...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mmojawapo wa wa wabunge machachari wa Dodoma mjini Enzi za Mzee Nyerere amefariki dunia usiku wa kuamkia leo saa 5.30 mjini Dodoma Kwa kizazi kipya wengi hawamfahamu akiwepo mbunge wa sasa...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Jamani naomba kufahamishwa juu ya mshahara wa mbunge baada ya makato ni sh.ngapi?
0 Reactions
56 Replies
28K Views
KUMEKUWEPO NA TABIA ZA KINAZI NA KISHABIKI MIONGONI MWA WATANZANIA , WENGI WETU TUNAVIONA VYAMA KUWA NI VITU VYA MAANA KULIKO TAIFA, weng wamejenga micmamo na itikadi kali ktk kulinda maslahi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyu mama alijipambanua kama mpambanaji dhidi ya ufisadi na kujizolea tuzo ya mwanamke jasiri zaidi lakini kwa mshangao wa wengi wapiga kura wamemzuia kuingia bungeni nini sababu za kuanguka kwake?
1 Reactions
74 Replies
11K Views
Hapa namaanisha vyeo na nafasi zote za kuchaguliwa, kuteuliwa, kuajiriwa na za namna yoyote ile ili mradi inawakilisha raia wako! Kinacho nishanganza watu wakipata nafasi hizi hasa wabongo, huwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Labda nitie neno kidogo. Suala la Askari kutumia mabomu ya machozi jana hospitali naliona halipaswi kutiwa lawama kwao. Otherwise iwe analaani mabomu hayo nae aliluwa anahitaji kuona Maiti...
0 Reactions
113 Replies
11K Views
Jamani Ikiwa Zoezi La Kuapishwa Kwa Wabunge Linaendelea, Je Sheria Inasemaje Kuhusu Wabunge Ambao Kwenye Majimbo Yao Kesi Zipo Mahakamani Za Kupinga Matokeo Kwamba Hayakuwa Ya Haki?? Kutakuwa na...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imevitaka vyama vya siasa vilivyoshindwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Oktoba mwaka huu kukubali kushindwa katika uchaguzi huo. Imesema walikua wakisoma...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mtu yeyote anapopewa kazi, ni wapi anapachagua kuanzia panatosha kutoa dira ya utendaji wa mtu huyo kama utakuwa wa mafanikio au la. Kwa mtu yeyote aliyemakini katika kazi hasa ya kusimamia watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hakuna jipya hapo. Kama kawaida yao wapinzani na safari hii wakijiegemeza kabisa kwa LOWASSA wanatafuta umaarufu wa kisiasa na kuwadhulumu wananchi haki yao ya kuwakilisha mawazo yao Bungeni...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Takriban wanawake 14 kutoka kisiwani Zanzibar nchini Tanzania wanaotuhumiwa kukiunga mkono chama tawala cha mapinduzi CCM katika uchaguzi uliopita kinyume na matakwa ya waume zao wamepewa talaka...
2 Reactions
61 Replies
7K Views
INSAFU ni kito na johari yenye thamani adhimu. Kama wewe ni miongoni mwa watu waliojaaliwa kuwa na johari hiyo katika kuhukumu mambo, soma maelezo yafuatayo, kisha jibu suali la maelezo hayo kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…