Hivi Maalim Seifu akipata jaji wa kumuapisha uraisi ni kosa?

kambagasa

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
2,241
1,749
Uvumilivu muda mwingine ni kielelezo cha udhaifu,mimi ndugu kabla ya yote naomba kueleweshwa tu kuwa hivi Maalimu Seifu wa CUF akipata jaji na akaapishwa uraisi rasmi wa Zanzibar pana tatizo gani? ukizigatia kila mtu anafahamu mshindi halali ni Maalim.
 
Uvumilivu muda mwingine ni kielelezo cha udhaifu,mimi ndugu kabla ya yote naomba kueleweshwa tu kuwa hivi Maalimu Seifu wa CUF akipata jaji na akaapishwa uraisi rasmi wa Zanzibar pans tatizo gani? ukizigatia kila mtu anafahamu mshindi halali ni Maalim.

Labda haapishwe na jaji wa Bongo Star Search (BSS )
ila siyo jaji mkuu wa nchi ya Tanzania.
 
Kaka mimi nimeomba msaada (elimu) kuhusu hili kwani si wote tunafahamu sheria mkuu. Kama wewe ni CCM pia unaweza tumia busara tu kuchangia ukaweka siasa pembeni ukanijibu kistaarabu.
 
Pia atafute ikulu yake,hiyo haina shida inwweza kuwa gesti...kimbembe kuwa na polisi na mabomu yake ya machozi
 
Mbona mimi sielewi kama alishinda? Ila kwa swala la kuapishwa hata Lowassa anaweza fanya hivyo, msikae kuwatega wazanzibari tu.
 
Ha ha ha umenikumbusha wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa, alikuwepo bwana mmoja alishinda Uenyekiti wa mtaa kule Segerea kama sikosei. Huyu bwana Mkurugenzi akakataa kumwapisha kwa vile alipata maagizo toka juu kuwa mtaa huo ni marufuku kupewa wapinzani kwa vile kuna wakubwa wanaishi hapo.
Kilichotokea ni wananchi kwenda kumleta mwanasheria na kumwapisha mshindi mbele ya vyombo vya habari. Mkurugenzi akaona hiyo ni ngoma nzito akasema sitambui kiapo hicho ila njoo tuu nikuapishe yaishe.
 
Kaka mimi nimeomba msaada (elimu) kuhusu hili kwani si wote tunafahamu sheria mkuu. Kama wewe ni CCM pia unaweza tumia busara tu kuchangia ukaweka siasa pembeni ukanijibu kistaarabu.

Tatizo umeuliza kitu ambacho kwa mtu great thinker wa hapa
JF hawezi kaa hata sekunde moja akawaza, hivi kwa akili yako tu
ya kuzaliwa mtu anaweza kuwa mkuu wa nchi kwa kujitafutia tu
jaji wa kuampisha kisela sela tu...?? kweli kabisa...??
 
Mpaka umefika kuwa mwanaJF, naamini vigezo na masharti vilizingatiwa. Lakini hili swali lako ulilolileta hapa sidhani kama linalingana na hadhi ya JF. I am sorry to say that.
 
Kama kaweza kutangaza ushindi yeye mwenyewe anaweza kuapa yeye mwenyewe. "Wallahi mimi Rais wa Zanzibar".
 
Tatizo umeuliza kitu ambacho kwa mtu great thinker wa hapa
JF hawezi kaa hata sekunde moja akawaza, hivi kwa akili yako tu
ya kuzaliwa mtu anaweza kuwa mkuu wa nchi kwa kujitafutia tu
jaji wa kuampisha kisela sela tu...?? kweli kabisa...??

Poa great thinker nimekupata
 
Mbona mimi sielewi kama alishinda? Ila kwa swala la kuapishwa hata Lowassa anaweza fanya hivyo, msikae kuwatega wazanzibari tu.
lowasa kasema MM NIMESHINDA KWA 62% NATAKA TUME INITANGAZE MALAMOJA! halafu tv anayoitumia ya lafikiake. jamaa wameuchuna tu wanamsikiliza, UNACHEZA NA RUBUVA WEE Vs WAMSOGA! wanachoniuzi kuapa kwa vitabu vya mungu wakisimamiwa na jaji badala ya padri au shekh.
 
Uvumilivu muda mwingine ni kielelezo cha udhaifu,mimi ndugu kabla ya yote naomba kueleweshwa tu kuwa hivi Maalimu Seifu wa CUF akipata jaji na akaapishwa uraisi rasmi wa Zanzibar pana tatizo gani? ukizigatia kila mtu anafahamu mshindi halali ni Maalim.

Aende akawaone Madam RITA, Master J na Salama Jabir wamsaidie..
 
Uvumilivu muda mwingine ni kielelezo cha udhaifu,mimi ndugu kabla ya yote naomba kueleweshwa tu kuwa hivi Maalimu Seifu wa CUF akipata jaji na akaapishwa uraisi rasmi wa Zanzibar pana tatizo gani? ukizigatia kila mtu anafahamu mshindi halali ni Maalim.
Bado hajatangazwa na Tume ya uchaguzi, kwa hiyo haiwezekani.
Hata kauli ya Jecha eti alijitangaza kuwa mshindi ni ya kifedhuli na ya uongo tu maana alisema "kwa kura hizi ni hakika nimeshinda na naiomba Tume ya uuchaguzi Zanzibar INITANGAZE KUWA MSHINDI". Cha kushangaza, Jecha anadai Seif AMEJITANGAZA mshindi wakati kimsingi ameitaka ZEC ndiyo imtangaze.
 
Uvumilivu muda mwingine ni kielelezo cha udhaifu,mimi ndugu kabla ya yote naomba kueleweshwa tu kuwa hivi Maalimu Seifu wa CUF akipata jaji na akaapishwa uraisi rasmi wa Zanzibar pana tatizo gani? ukizigatia kila mtu anafahamu mshindi halali ni Maalim.
Ingawa ni kweli inajulikana wazi hivi sasa kuwa Maalim Seif ndiye aliyeshinda kiti cha Urais kwenye uchaguzi uliofanyika tarehe 25/10/2015.
Hata hivyo kwa matakwa ya kisheria kwa mujubu wa katiba ya Zanzibar, hawezi kuapishwa na Jaji yoyote kushika wadhifa huo wa Urais wa Zanzibar hadi pale Tume ya uchaguzi ya Zanzibar itakapotangaza rasmi mshindi wa kiti hicho cha Urais.
 
Ha ha ha umenikumbusha wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa, alikuwepo bwana mmoja alishinda Uenyekiti wa mtaa kule Segerea kama sikosei. Huyu bwana Mkurugenzi akakataa kumwapisha kwa vile alipata maagizo toka juu kuwa mtaa huo ni marufuku kupewa wapinzani kwa vile kuna wakubwa wanaishi hapo.
Kilichotokea ni wananchi kwenda kumleta mwanasheria na kumwapisha mshindi mbele ya vyombo vya habari. Mkurugenzi akaona hiyo ni ngoma nzito akasema sitambui kiapo hicho ila njoo tuu nikuapishe yaishe.

Haa haaa natamani nihamie mtaani kwenu
 
lowasa kasema MM NIMESHINDA KWA 62% NATAKA TUME INITANGAZE MALAMOJA! halafu tv anayoitumia ya lafikiake. jamaa wameuchuna tu wanamsikiliza, UNACHEZA NA RUBUVA WEE Vs WAMSOGA! wanachoniuzi kuapa kwa vitabu vya mungu wakisimamiwa na jaji badala ya padri au shekh.
Kwani Lowassa keshaapishwa? Na Rungwe naye anaweza kujitangaza mshindi kwa utaratibu huu wa manyumbu
 
Mpaka umefika kuwa mwanaJF, naamini vigezo na masharti vilizingatiwa. Lakini hili swali lako ulilolileta hapa sidhani kama linalingana na hadhi ya JF. I am sorry to say that.

kwa majibu yenu kama haya, mtawafanya watu wengine waogope kujiunga na JF, hiv nin maana ya forums?
 
Back
Top Bottom