Kipi muhimu kati ya maslahi ya chama changu au taifa langu

NAWE PIA

Senior Member
Sep 11, 2015
177
13
KUMEKUWEPO NA TABIA ZA KINAZI NA KISHABIKI MIONGONI MWA WATANZANIA , WENGI WETU TUNAVIONA VYAMA KUWA NI VITU VYA MAANA KULIKO TAIFA, weng wamejenga micmamo na itikadi kali ktk kulinda maslahi ya chama chao kuliko taifa, mf. mauaji wa watz., ufisadi, rushwa, umaskn but mambo haya hupimwa kwa mizani ya kivyama bila kujali kuwa kuna watz. hatuna vyama na hata hatuna mpango wa kuwa na vyama, je kwa mana hyo tuco na vyama hatna ya kulisema taifa letu?
 
Back
Top Bottom