Peter Dafi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 394
- 272
Labda nitie neno kidogo.
Suala la Askari kutumia mabomu ya machozi jana hospitali naliona halipaswi kutiwa lawama kwao.
Otherwise iwe analaani mabomu hayo nae aliluwa anahitaji kuona Maiti nyingine ya Askali inaongezeka Pale Mochwali pembeni ya Mwili wa Mawazo.
Vijana wa CHADEMA walikuwa wakimpiga Askali aliyekuwa akisaidia maeneo yale ya Mochwali na walimtoa Mochwali wakimpiga mpaka alipopata msaada wa askali kiwatawanyisha kwa mabomu muda huo Askali huyo alishajeruhiwa zamani, manake zingeongezeka Dakika 3 ilikuwa Marehemu Askali.
Hapakuwa na Namna yakuwatawanya au kumuokoa Askali aliyekuwa kazungukwa na Vijana wahuni wa CHADEMA walioamua kumuadhibu pasipokuwa na Kosa Lolote.
Lakini pia Nimshangae sana Lema kwa Muendelezo wake wa kauli za kutisha na kuhamasisha Vurugu.
Atakuwa nazidi kuwatafutia vijana majeraha, Vilema na Vifo zaidi wakati yeye akiwa anakula bata ktk V8 yale, Chopa, Ndege nk....
Suala lakuhamasisha Vijana wawapige Askari na Wana CCM bi jambo la Hatari sana kwani Vita na Mgogoro huu niwahatari sana kqakuwa nikwasisi wenyewe pasipokuwa na kosa lolote ila Kwa Faida ya Wanasiasa Uchwala km hawa wanaopenda Vita na Vurugu kuliko Amani ya Taifa na Jamii pia.
Nashindwa kujua Lengo kuu hapa ni Nini Lakini naiona Dhamira ya kuhamasisha Machafuko kwa toka kwa Kauli za Lema hii inanisikitisha sana na Inanifanya nimshangae sana Kakangu huyu kwani anashindwa kuwa Muungwana na kulitakia Taifa hili amani bali Machafuko.
Wako wapi wanaharakati wa Tanzania watetezi wa haki za binadamu! Wao wanaona kuwa kauli hizi zakichochezi ni sawa tu sio?
Naomba tuzifuate Mamlaka, Sheria, Kanuni na Taratibu tulizojiwekea.
Hata kama Serikali hii ingekuwa niya CHADEMA lazima Mamlaka zifanye kazi zake kama zilivyojipangia na sio kwakufuata Maelezo ya Wanasiasa.