Hongera Lukuvi, kazi yako tumeiona

Mtu Kwao

JF-Expert Member
Sep 2, 2019
394
713
Salam!

Naweza kusema Mh. William Lukuvi ni miongoni mwa viongozi wachache walioweza kusifiwa kwa utendaji wao angali wakiwa hai

Jana baada orodha ya mawaziri waliochwa kwenye baraza la mawaziri kutoka nimeona kwenye mitandao ya kijamii na huku mtaani watu wengi wakiumia sana kwanini mh Rais kamuacha lukuvi wakati huyu kiongozi alikuwa ni mchapa kazi mahiri.

Kinachonishangaza kwanini watu wengi wameuzunishwa na kuondolewa kwake. Hakika hapa kuna kitu cha kujifunza kutoka kwa kiongozi huyo

Kwenu viongozi tunapopewa nafasi za kutumikia taifa hili tujitahid kuzitendea haki na tusiwe waimba mapambio tuige mfano wa Mh Lukuvi.

Kila la kheri William Lukuvi katika majukumu yako.

1643871890052.png

Wanyalukolo wanapigiana debe; wamesahau kuwa Lukuvi Ndio aliyeuza kiwanja kile pale karibu na police officer's mess Oysterbay kwa Ladwa! Magufuli akamwambia arudishe serikalini kile kiwanja haraka !!! Nani asiyejue rushwa Lukuvi aliyekuwa toka kwa SHIVACOM Mpaka akahongwa na gari?
 
Wanyalukolo wanapigiana debe ; wamesahau kuwa Lukuvi Ndio aliyeuza kiwanja kile pale karibu na police officer's mess Oysterbay kwa Ladwa!!! Magufuli akamwambia arudishe serikalini kile kiwanja haraka !!! Nani asiyejue rushwa Lukuvi aliyekuwa toka kwa SHIVACOM Mpaka akahongwa na gari?
Mkuu watakurushia mawe wanyalu kaa kwa tahadhari
 
Hongera, ccm ina wenyewe. Kwa tetesi ayubu hajajiuzulu kwa sababu ya kusimamia ukweli kuhusu mikopo ni kwa sababu ya msamaha kukataliwa. Kama MUNGU ALIKUJA KUISHI NA CC TUKAMSULUBISHA PAMOJA NA KUTUPA MIKATE C SHANGAI KWA AYUBU. TUTAMJUA NI MWANA WA ALIYE KITINI 2025.
 
Wanyalukolo wanapigiana debe ; wamesahau kuwa Lukuvi Ndio aliyeuza kiwanja kile pale karibu na police officer's mess Oysterbay kwa Ladwa!!! Magufuli akamwambia arudishe serikalini kile kiwanja haraka !!! Nani asiyejue rushwa Lukuvi aliyekuwa toka kwa SHIVACOM Mpaka akahongwa na gari?
Sidhan hilo baya lake linaweza futa mazuri yake yote
 
Wanyalukolo wanapigiana debe ; wamesahau kuwa Lukuvi Ndio aliyeuza kiwanja kile pale karibu na police officer's mess Oysterbay kwa Ladwa!!! Magufuli akamwambia arudishe serikalini kile kiwanja haraka !!! Nani asiyejue rushwa Lukuvi aliyekuwa toka kwa SHIVACOM Mpaka akahongwa na gari?
Ukiona KIONGOZI WA CCM anasifiwa HADHARANI mitandaoni basi huyo kawagusa wananchi wa pato la chini moja kwa moja kwa kutenda haki na kuwafikishia kile wanachotaka. Hayo unayoyaeleza hayakuwa na manufaa kwa mwananchi mmoja mmoja hasa
WIZARA ilipokuwa chini yake aliitendea haki haswa hilo lipo wazi
 
Kuindolewa kwa Mh. Lukuvi ni dharau kubwa sana kwa watu wanyonge ambao mabwanyenye walijimilikisha ardhi wapendavyo. Lukuvi aliweka stop ili wenye hela waendelee kuwakalia wanyonge. It is inconceivable kumwondoa Lukuvi ktk Wizara hiyo, hata kama alikuwa na Mawazo ya 2025.By the way kutamani kuongoza si kosa kila mtu ana haki ya kuwa na ambition. Tatizo kama angekuwa over ambitious na KUMDHARAU mkuu wa nchi hapo tungekubaliana na SSH. Lakini mzee wa watu ali mind kazi yake, wizara ya ardhi ikawa na mabadiliko makubwa. Sasa SSH katupa gea ya reverse. Mimi simwelewi kama she is doing it with GENUINE reasons or PERSONAL VENDETTA!! And if the latter is to go by. Basi SSH anaturudisha nyuma sana. Time will tell.!
 
Back
Top Bottom