Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kufunguliwa

Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kufunguliwa

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,251
Kiwanda cha General Tyre kufunguliwa muda wowote kuanzia hivi sasa.Leo wajerumani wamekabidhi shares 26% kwa serikali hivyo 100% GT iko kwa serikali ambapo balozi Ombeni Sefue alishuhudia hilo tukio.

Katibu wa Wizara ya Viwanda na Biashara anasema muda wowote wanaweza kufanya trial run wanamalizia kurekebisha mifumo ya umeme, malighafi zipo za kutosha.

Chanzo: Channel Ten habari leo
 
Leo kwenye taarifa ya habari ya Channel 10, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Seif ametangaza kwamba serikali itakifufua kiwanda cha General Tyre cha Arusha mapema iwezekanavyo.

Tunajua kwamba Mh Lowasa alipoenda kutafuta wadhamini Mkoani Arusha alitangaza vipau mbele vyake kimoja wapo ni kukifufua kiwanda cha matairi kilichokufa kwa muda mrefu, Arusha General Tyre.

Sasa naona serikali ya CCM imeamka na kusema kwamba watakifufua kiwanda hichi. Sasa Namwomba Mh. Lowasa aendelee kutoa vipau mbele vyake kwenye kila mkoa, serikali inamsikiliza sana na wanajua anachosema ni kweli atafanya, sasa wanaamua kuamka.

Bravoo Lowassa, na serikali pia kwa kumsikiliza mzee wa maamuzi
 
Leo kwenye taarifa ya habari ya Channel 10, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Seif ametangaza kwamba serikali itakifufua kiwanda cha General Tyre cha Arusha mapema iwezekanavyo. Tunajua kwamba Mh Lowasa alipoenda kutafuta wadhamini Mkoani Arusha alitanga vipau mbele vyake kimoja wapo ni kukifufua kiwanda cha matairi kilichokufa kwa muda mrefu, Arusha General Tyre. Sasa naona serikali ya ccm imeamka na kusema kwamba watakifufua kiwanda hichi. Sasa Namwomba Mh Lowasa aendelee kutoa vipau mbele vyake kwenye kila mkoa, serikali inamsikiliza sana na wanajua anachosema ni kweli atafanya, sasa wanaamua kuamka. Bravoo Lowasa, na serikali pia kwa kumsikiliza mzee wa maamuzi

It's working. CCM hawakumtaka Lowassa kwa sababu wanajua rekodi ya uchapakazi wake! Yeye sio msanii akisema kitu anamaanisha.
Hongera sirikali
 
Hata mimi nimeshtuka kidogo baada ya Kauli ya Lowasa pale Arusha haijapita hata Mwezi naona Katibu mkuu anasema watafufua kiwanda cha Mataili japokuwa hajasema ni lini mpango huo utakamilika.
Ila natumaini Serikali ina nia njema kufufua mapema kadri iwezekanavyo ili kukuza ajira pia.
 
safi ila wamemuwahi EL maana ndo kipaumbele chake cha kwanza akiingia madarakani,ila ka vile jambo hili lipo kisiasa
 
Kifunguliwe kiwanda chetu chenye tyre bora Africa na duniani kwa ujumla
 
Leo kwenye taarifa ya habari ya Channel 10, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Seif ametangaza kwamba serikali itakifufua kiwanda cha General Tyre cha Arusha mapema iwezekanavyo. Tunajua kwamba Mh Lowasa alipoenda kutafuta wadhamini Mkoani Arusha alitangaza vipau mbele vyake kimoja wapo ni kukifufua kiwanda cha matairi kilichokufa kwa muda mrefu, Arusha General Tyre. Sasa naona serikali ya ccm imeamka na kusema kwamba watakifufua kiwanda hichi. Sasa Namwomba Mh Lowasa aendelee kutoa vipau mbele vyake kwenye kila mkoa, serikali inamsikiliza sana na wanajua anachosema ni kweli atafanya, sasa wanaamua kuamka. Bravoo Lowasa, na serikali pia kwa kumsikiliza mzee wa maamuzi

Huyo Lowasa ana ilani yake ya uchaguzi mfukoni or? Maana anayoyasema hatujui huwa ni ilani ya chama gani ndani ya ukawa. Au kuna ilani ya ukawa nini?
 
watafanya twende BRELA kuwa 2naweka hatimiliki ya mawazo ya mgombea wetu na vpao mbele vye2 kuepuka wiz wa idea zetu
 
Huyo Lowasa ana ilani yake ya uchaguzi mfukoni or? Maana anayoyasema hatujui huwa ni ilani ya chama gani ndani ya ukawa. Au kuna ilani ya ukawa nini?

Unataka kujuwa ilani ya ukawa? Ni kupambana na umasikini, tatizo la ajira, rushwa, kubwa zaidi ni katiba ya wananchi ambayo ndio msingi mkuu wa kuundwa ukawa. Serikali tatu.
 
Huyo Lowasa ana ilani yake ya uchaguzi mfukoni or? Maana anayoyasema hatujui huwa ni ilani ya chama gani ndani ya ukawa. Au kuna ilani ya ukawa nini?

Kuna mambo mengine madogo madogo hayaitaji ilani mkuu, hata JK kuna mambo makubwa alifanya hayukuwepo kwenye ilani ya ccm! Mfn Chuo Kikuu cha UDOM
 
Acheni usanii nyie #Teamdodoki .

lowassa alishutumiwa kuhusika na kufa kwa kiwanda hiki.lema aliitumia gia ya kukirudisha kiwanda hiki kwa serikali wakati anagombea mwaka 2010.

Juzi lowassa alisema ataliongekea suala hiki la General tyre kampeni zikianaza.niliweka thread kuhusu kauli hii lakini mods waliiemerge!

Mmiliki aliyekiua ni El according to Lema.

#hapakazitu

soma comments zangu kwenye thread hii hapa....


https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/907518-updates-kutoka-arusha-mkutano-wa-kumtambulisha-mgombea-urais-kwa-tiketi-ya-chadema-67.html#post13646662

Moderator msiwe mnaunganisha threads bila taarifa!
 
Last edited by a moderator:
Ufufuaji wa hicho kiwanda kiko kwenye ajenda ya serekali, kilichochelewesha kuna kesi za madeni ambayo hayajamalizwa kati ya serekali na mbia wa mwanzo
 
Jamani ukarabati wa kiwanda ulianza toka mwaka jana
Mpaka miezi ya mwanzoni mwa mwaka huu kulikuwa na ukarabati ukiendelea
Mimi kama raia nafarijika sana tupate ajira na pia kuokoa forex tutumiazo kuagiza matairu
 
Acheni usanii nyie #Teamdodoki .

lowassa alishutumiwa kuhusika na kufa kwa kiwanda hiki.lema aliitumia gia ya kukirudisha kiwanda hiki kwa serikali wakati anagombea mwaka 2010.

Juzi lowassa alisema ataliongekea suala hiki la General tyre kampeni zikianaza.niliweka thread kuhusu kauli hii lakini mods waliiemerge!

Mmiliki aliyekiua ni El according to Lema.

#hapakazitu

soma comments zangu kwenye thread hii hapa....


https://www.jamiiforums.com/uchaguz...is-kwa-tiketi-ya-chadema-67.html#post13646662
Moderator msiwe mnaunganisha threads bila taarifa!

Na aliechukua pesa stanbic ni nani
 
Last edited by a moderator:
Ccm ina ilani au Iran...watutokee hapa majizi mazoefu...jk kwanza na wengine wafuate
 
Lema njoo ukanushe uhusika wa EL kumiliki General tyre
 
Back
Top Bottom