Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sheikh Mwaipopo amemvaa Jaji Mstaafu Warioba kwa kudai kuwa anaeneza chuki na anatumiwa na wazungu. Aidha, amesema kuwa kila panapokuwa na uchaguzi ni jambo la kawaida kwa vyombo vya ulinzi na...
4 Reactions
62 Replies
1K Views
Wakuu, Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, ameonekana mara ya kwanza kwenye madhabahu ya kanisa hilo lililopo Ubungo Kibo, Dar es Salaam, katika ibada ya mkesha wa...
6 Reactions
19 Replies
922 Views
Njia sahihi na salama kabisa ya kurejesha utulivu nchini ni kutafuta mlipo jikwaa nakuondoa hicho kizingiti kilicho fanya mjikwae , Kuendelea kudhani kwamba amani na upendo wa taifa vitarejea kwa...
3 Reactions
2 Replies
193 Views
Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ? Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo...
2 Reactions
7 Replies
218 Views
Moja ya wizara za kwanza kabisa kuundwa mara baada ya Tanganyika kupata uhuru ni ya vijana, iiitwa "wizara ya utamaduni wa taifa na vijana" (ministry of national culture and youth). Waziri wa...
4 Reactions
5 Replies
263 Views
Tanzania Kuna kikundi cha watu mitandaoni na kilikuwepo awamu zote tangu awamu ya Mkapa mpaka sasa, kazi yao kuu ni kukejeli na kutukana viongozi wetu. viongozi wetu MSIFE MOYO kwani Kila mtu...
0 Reactions
4 Replies
158 Views
https://www.youtube.com/live/0oisjyeeiTk?si=ZyTQ-O1IFxIhOKkd MDAHALO KUHUSU UENDESHAJI ENDELEVU WA BANDARI UNAENDELEA PEACOCK HOTEL Baraza la Wasafirishaji Tanzania (Tanzania Shippers’ Council...
2 Reactions
14 Replies
282 Views
Hamjambo wote! 1. Kama mtanitazama vizuri kwa wale wenye kunijua kidogo mtagundua siko Sawa. Ni kama nimeathirika kisaikolojia hivi. Ni kama mtu niliyepitia au kuona mambo magumu na mabaya. 2...
7 Reactions
33 Replies
507 Views
Yule Malkia wa nguvu aka Mwanamke shupavu bingwa wa mambo ya urithi ametoswa tena huko Geita. Wajumbe si watu wazuri
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke, amewaomba Watanzania kuingia mwaka 2026 kwa kusameheana na kuachana na chuki, akisisitiza kuwa msamaha ni...
0 Reactions
18 Replies
363 Views
January 27, 2001 yalifanyika maandamano yaliyoitishwa na chama kikuu cha upinzani CUF kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa Zanzibar wa Oktoba 2000 uliyompa ushindi mgombea wa CCM Dkt. Amani Abeid...
1 Reactions
5 Replies
226 Views
Leo wamekubali bila chenga kuwa wamefungia X sababu ya maudhui ya ngono! Kampeni ya CCM kutaka kufungia mitandao kabla ya uchaguzi inaenda kutimia. Ila😂😂🤣 kwahiyo na Insta inafuata, Youtube...
10 Reactions
73 Replies
6K Views
Mambo yanayoendelea SGR ya wananchi kulalamikia huduma ni mchezo unatengenezwa ili Serikali ije na maelezo kuwa TRC haiwezi kusimamia SGR hivyo Serikali imepata mwekezaji atakayeendesha kwa...
2 Reactions
12 Replies
308 Views
Kiufupi,mwenye ID Robert Hariel Mtibeli kasema ni propaganda kusema kwamba matatizo tuliyonayo Tanzania hayatokani na CCM bali yanatokana na malezi na ukoloni mambo leo. Kusema kwake huko ni...
14 Reactions
76 Replies
1K Views
Kama mjuavyo tunauaga mwaka 2025 kwa kishindo cha Ushindi wa 97.6%. Hivyo kama ilivyo kawaida ya Mheshimiwa kutoa Hotuba ya kuuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya. Je Hotuba itarushwa saa ngapi...
6 Reactions
17 Replies
454 Views
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando, ameingilia kati na kutolea ufafanuzi sintofahamu iliyotawala miongoni mwa wakazi wa Goba kuhusu kuondolewa kwa kamera za usalama (CCTV) katika makutano ya...
3 Reactions
18 Replies
565 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuuhutubia taifa kuhusiana na kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya 2026. Hotuba hiyo itarushwa mubashara kupitia...
3 Reactions
87 Replies
2K Views
Katika kipindi hiki kigumu watanzania ndio mnawaona watu walio upande wenu na wapumbavu njaa baadae tusifanye makosa.
4 Reactions
4 Replies
158 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, akiongea na wahariri pamoja na waandishi wa habari, leo Jijini Dar es Salaam, amesema maandamano ambayo waandamanaji wanaenda...
4 Reactions
52 Replies
1K Views
Tumetoka kujaza Ile form ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya tar. 29 Tumeijaza kabla hatujatawanyika kwenda kwenye majukumu ya kujitafutia riziki hii form siyo ngumu inaeleweka watanzania tujaze...
1 Reactions
46 Replies
577 Views
Back
Top Bottom