Vyombo vya habar ikiwapo TBC, na baadhi ya TV programs zmekuwa znamnukuu EL kama waziri Mkuu mstaafu! Tujuavyo ni kwamba EL alijihudhuru tena kwa kashifa ya ufisadi.
Kwa jinsi ajulikanavyo kama...
Tanzania ni sehemu pekee ambapo biashara inaweza kufa kutokana na uwepo wa wateja wengi. Kama hali ilivyo kwenye mabasi ya mwendokasi, ndicho kinachoonekana hapa SGR.
1. Wasomi pale jalalani kupitia umoja wao (UDASA) wamefanya sherehe ya kuuaga mwaka 2025 vichakani pamoja na kuwa na majengo na kumbi za maana hapo hapo jalalani.
2. Vinywaji (visivyo vilevi)...
NUKUU za Hotuba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kulihutubia Taifa Akiuaga Mwaka 2025 na Kuukaribisha Mwaka Mpya 2026.
Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao.
Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?
Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee...
Vyombo kadhaa vya habari barani Ulaya na Marekani vimeuandika raisi Samia vibaya sana kuhusu azma yake ya kung'ang'ania madaraka ambayo ilimpelekea kuamuru raia wake wauawe na vyombo vya usalama...
Kichwa kiko wazi. Sijaacha kujiuliza kila ninapomsikiliza Mkumbo Madelu au Mwigulu Nchemba.
Akiongea, huwa sioni chembe ya usomi achilia mbali udaktari.
Anaongea kama mlevi pale kijiweni.
Ni...
NAPENDA KUMSHUKURU MAMA WA AFRICA AU DR SAMIA SULUHU HASSAN KWA KULIVUSHA TAIFA LETU LA TANZANIA SALAMA.
Yakiwa yamebaki masaa machache kuufunga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, haitokuwa...
Mange kimambi ameandika yafuatayo
"Samia, Wambura, Mombo, Mafwele, Murillo, na washirika wenzao hawa wote safari yao ni ICC mahakama ya makosa ya jinai . Hawa wote mwisho wao ni kuhukumiwa...
Kwa kifupi nafasi yako kwa siasa zetu ni Nyeti.
Itumie kuleta HAKI.
Watetee wahanga wa D29, wape faraja
Jitenge na adhabu ya Munhu wako! Mauaji haya yalikuwa.makubwa!
ITUMIE KUITETEA...
Kumekuwepo na vikundi visivyo rasmi vikiteka na kuuwa raia hali hii inahatarisha usalama wa taifa kunatoa mwanya kwa majambazi kufanya uhalifu.
Huwezi kumtofautisha polisi na jambazi vyenyewe...
Mbunge wa zamani wa Muleba Kusini na waziri wa Ardhi katika serikali ya awamu nne Prof. Anna Tibaijuka kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) Anaandika;
"Wakati tunasubiri Tume ya Uchunguzi kutupa...
Kocha mkuu Tanzania Miguel Gamond baada ya kuiwezesha Tanzania kufuzu hatua ya kumi na sita bora kwa mara ya kwanza, Amesema ushindi huu ni muhimu sana kwa soka la Tanzania na mafanikio...
Uwajibikaji wa kweli unahitaji mikutano ya mara kwa mara, kusikiliza maoni ya wananchi, na kutoa taarifa za maendeleo hata nje ya kipindi cha kampeni. Hii inasaidia uwajibikaji na ushirikiano...
Sheikh Jabiri aliripotiwa juzi akiwa amekutwa amekufa pembeni ya gari lake, ambapo polisi walisema hakuwa na majereha yoyote, huenda alikuwa na ugonjwa akaanguka ghafla.
Lakini shuhuda ametoa...
Sheikh Mwaipopo amemvaa Jaji Mstaafu Warioba kwa kudai kuwa anaeneza chuki na anatumiwa na wazungu. Aidha, amesema kuwa kila panapokuwa na uchaguzi ni jambo la kawaida kwa vyombo vya ulinzi na...
Wakuu,
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, ameonekana mara ya kwanza kwenye madhabahu ya kanisa hilo lililopo Ubungo Kibo, Dar es Salaam, katika ibada ya mkesha wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.