Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,578
- 42,979
1. Mdude nyagali chadema atarudishwa Kwa mke wake au mahakamani.
2. Waliompiga risasi TUNDU LISSU mwaka 2017 watakamatwa na kuwekwa hadharani.
3. Waliomteka Mzee Ally Mohamed KIBAO watakamatwa na tuambiwe ni wakina nani.
4. Yule kijana aliyechora picha ya mwanamke kule mbeya halafu akapotezwa arudishwe au apelekwe mahakamani.
5. Ben Rabiu Saanane apelekwe kwao Moshi au mahakamani au tuonyeshwe akiwa hai.
6. Waliomteka polepole ni kina nani? Wamlete polepole akiwa hai au apelekwe mahakamani.
7. Soka aletwe akiwa hai au apelekwe mahakamani.
8. Aliyemteka Sativa ninani tumfahamu. Maana alidhamiria kumuua kupona ilikuwa kudra.
9. Aliyempiga na kumjeruhi father Kitima ninani? Na kesi imefikia wapi?
10. Kesi ya lisu ni ipi Kwa mujibu wa Sheria basi mnyongeni haraka ili TUFUNGE jalada lake.
11. Miili ya waliouwawa Iko wapi watu wakazike wapendwa wao? Au wale walikuwa mbwa?
Bila hayo kutimia basi maridhiano sioni umuhimu wake mnaridhiana nini na nani ? Mkosefu ninani? Aliyekosewa ni nani? Watanzania wanataka kujua.