Hawa wanahusika na mipango mingi miovu ya kubagaza nchi hii na kubananga. Wanahusika pakubwa na uporaji na ununuzi wa maeneo ya Umma ambayo miaka ya nyuma walikataliwa kuuziwa.
Hawa mnajua...
Mwanaharakati Maria Sarungi Tsehai amewalipua Watanzania kwa kile alichokiita ni kushindwa kumtetea Tundu Lissu, kiongozi ambaye amejitoa mhanga kwa miongo kadhaa kusema ukweli bila woga. Maria...
Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29 imeeleza sababu kuu zilizopelekea kuongezewa muda wake wa kazi.
Sababu hizo ni pamoja na kuendelea kupokea ushahidi kutoka kwa makundi mbalimbali na watu...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio vurugu za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Chande amekanusha uvumi wa kuwa Tume hiyo imeongezewa muda ili ripoti yao ichakachuliwe.
Jaji Chande...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya vurugu za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Mohamed Chande Othman, amekanusha uvumi kuwa nyongeza ya muda wa Tume hiyo imelenga kuchakachua ripoti...
Viza za biashara na wanafunzi kwenda USA zimesimamishwa : Sio nzuri kwa wafanyabiashara
Wakati machawa na ndugu wa Samia wakifurahia mauaji ya vijana wetu wafanyabiashara wa kimataifa hali sio...
Jeshi la Polisi limelazimika kuwahi eneo la tukio na kuingilia kati taharuki iliyojibuka Kimara Mwisho, Wilayani Ubungo Mkoani Dar es salaam jioni hii baada ya Wananchi wa eneo hilo kumpiga...
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, ameweka wazi mpango mpya wa Serikali unaolenga kutatua changamoto ya mitaji kwa vijana wanaohitimu masomo yao nchini. Akizungumzia hali ya upatikanaji wa mikopo...
Leo Tarehe 09 Aprili 2026, ni Mwaka mmoja tangu alivyokamatwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe Tundu Lissu na kushitakiwa kesi kesi ya uhaini.
Leo siyo siku ya ukimya bali ni siku ya kukataa hofu na...
Poleni sana Chadomo Kwa hili pigo na kuendelea kujaza maji kwenye neti.
======
The World Bank has approved $550 million in financing for Tanzania to boost jobs and support vulnerable households...
Heshima sana wanajamvi.
Tulia wa leo si wa jana wala juzi.
Tulia wa leo amefubaa,amenyong'onyea,amepauka, amekuwa kichekesho na mnyonge katika viambaza vya wenye mamlaka.
Wengi mtakumbuka sakata...
"Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na vyama vya siasa vya upinzani barani Afrika katika karne hii, vinaendeshwa kwa ushabiki na kiki nyingi kupita kiasi.
Kuna mambo wanayoyafanya hadi...
Matajiri wote wanaopigania demokrasia maana yake wawe na uhuru wa kupanga bei za bidhaa bila hata kuangalia mnyororo wa udhalishaji. Moja wapo ya njia hizo ni kutengeneza cartels. Matajiri...
Dear President Dr. Samia Suluhu,
I hope this letter finds you in good health and high spirits. I am writing to bring to your attention a critical issue that affects the future of our country...
Yaani unafanya maombi ya kitu flani kwenye taasisi ambacho utalazimika kukilipia kwa kupata Control number, sasa ili upate Control number inakulazimu tena utoe RUSHWA ili utolewe Control number...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeitaka Serikali itoe maelezo ya kina kufuatia uteuzi wa Bi. Angela Kizigha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikidai kuwa...
Wanabodi,
Angalizo la Utangulizi
Naianza thread hii kwa angalizo la utangulizi kuwa hii ni thread ya swali!, nimeuliza kitu, na sijatoa statement yoyote hapa!. Nimeanza hivi ili kuweka caveat ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.