Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa hakuna siku itatokea chama hicho...
7 Reactions
249 Replies
14K Views
Wasalam wandugu, Kuna mambo mawili yananipa shida, pia yanampa shida mkulu, Mosi, mapinduzi ya Zanzibar, kila mwaka tarehe kumi na mbili January kunafanyika sherehe ya mapinduzi ya Zanzibar...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Sheikh Baraghash bin Said,GCMG,GCTE (1837- March 26, 1888)alikuwa mfalme wa pili wa Dola ya Zanzibar kuanzia Oktoba 7,1870 mpaka March 26,1888 Baraghash atakumbukwa kuwa kiongozi mahiri...
8 Reactions
153 Replies
24K Views
Kwanza tuendelee kupeana pole kwa Msiba wa Kawawa. Leo amezikwa na apumzike kwa amani. Ila pia msiba huu umefungua baadhi ya mambo ambayo hayakupata kujulikana kabla mongoni mwake ni haya...
3 Reactions
116 Replies
19K Views
Alitumia babu mpaka MJUKUU Halafu wewe upo zako huko maporini unajiita mwana ccm, au upo zako jf hapa unafanya chawaring unajikuta kijani damu!, CCM INAWENYEWE . Nawenyewe ndio sisi 😎
15 Reactions
61 Replies
1K Views
Naam wakuu, CCM inaendelea kukusanya michango. Ghalib Said Mohamed wa GSM (zamani Home Shopping Center) na wenzake waichangia CCM Sh. Bilioni 10 za Uchaguzi. Michango inaendelea
11 Reactions
124 Replies
8K Views
Rais Karume ndio kwanza amemaza kuhutubu sherehe za Mapinduzi Zanzibar kutokea kisiwani Pemba. Kwa maoni yangu, its the best ever tangu nimekuwa nikimsikiliza Mheshimiwa huyu huko nyuma...
0 Reactions
96 Replies
11K Views
Habari! Toka jumamosi iliyopita nikiwa safarini toka Nyumbani Tanzania Kwenda Ughaibuni niliko jishikiza kimaisha as Diaspora najisikia Ndani yangu kumuombea TUNDU A. LISSU. Mimi sio mwanasiasa...
8 Reactions
3 Replies
290 Views
Ukisoma kitabu cha KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU cha mwandishi Harith Ghassany unakaribia kulia ukijua kwamba kumbe Mapinduzi ya Zanzibar si kama tunavyoyajuwa.Kwa upande mwengine kumbe uongo ni...
4 Reactions
122 Replies
20K Views
Hali ya kisiasa Zanzibar kwa miaka mingi sasa ni ya mivutano isiyoisha. Mivutano hii ni ya kihistoria na pengine naweza kusema hata mapinduzi ya mwaka 1964 ni sehemu tu ya mivutano hiyo. mivutano...
2 Reactions
69 Replies
7K Views
GT Sina ugomvi na watu wa Pwani lakini ni watu wavivu sana. Na serikali ikijaza watu wa aina kwenye uongozi usitegemee chochote cha maana kitafanyika.. Mfano. 1. Mchengerwa 2. RITZ 3..Awesu...
2 Reactions
5 Replies
350 Views
Taifa la Zanzibar limekulia na kudumaa katika uongo, ulaghai, ghiriba, vitisho na mauaji kwa miaka 51 sasa. Vizazi vimelishwa uongo wa uhalisia wa mapinduzi na wanamapinduzi wa kweli wa Zanzibar...
11 Reactions
91 Replies
39K Views
Kitakuwa chama changu cha kwanza kujiunga. Naipenda nchi yangu. Nahitaji kuwa na watu ambao wapo kwa ajili ya maslahi ya umma. Sio watu kama Freeman Mbowe ambae alijali tumbo lake kuliko maslahi...
22 Reactions
47 Replies
920 Views
Haya ni mahojiano yaliyofanyika muda mfupi baada ya mapinduzi ya zanzibar. Sikiliza mahojiano ya Karume, Babu na Okello ( mapinduzi ya zanzibar haya kuwahusisha wanasiasa ) Mohamed...
3 Reactions
18 Replies
7K Views
Swali lipo hapo juu lijubu tyu
1 Reactions
1 Replies
174 Views
Utekaji, mauwaji, rushwa, ufisadi, uongo sio siasa ni uhalifu na uhaini kwenye nchi haijalishi nani anafanya ni kinyume cha sheria kwa yoyote . Anayetekeleza kati ya hayo ni adui wa Tanzania na...
4 Reactions
2 Replies
194 Views
Katika video hii yuko Rais wa Kwanza wa Zanzibar Bwana John Gidion Okello "Field Marshal" (Katikati), Pia yupo Abdulahman Babu kulia (Mkalimani) na yupo Abeid Karume (Kiongozi wa ASP). Hapa Rais...
6 Reactions
23 Replies
5K Views
Watakapoamka watakuja counter revolution will be complete. Watch carefully, as long as there is the union the revolution of January 12, 1964 will be defended. Outside the union the revolution will...
11 Reactions
120 Replies
9K Views
Kama ni kweli ''wakoloni '' walikuwa ni wabaya kiihivyo kama communists walivyotuminisha, how is that elimu ambayo ilitolewa kwetu ndiyo ile ile iliyotolewa ulaya kwao wazungu waliotutawala? i...
1 Reactions
2 Replies
149 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…