Unaweza kushangaa, lakini hiyo ndio hali halisi
Tundu Lissu alikamatwa April 9 2025, Mbinga Nchini Tanzania kwa maagizo ya Wana Mtandao baada ya kugusa biashara yao ya kificho ya Makaa ya Mawe...
Ndugu zetu wa Kenya wanataka integration ya software kama Haki za binadamu sio hardware kama passport au mambo ya common market, hayo yatakuwa Tu yenyewe tukiwa, tunataratibunnzuri za maisha.
Akizungumza na waandishi wa Habari leo Aprili 12, 2026 Naibu Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa, amesema haya;
"Ndugu Watanzania wenzangu, mzigo wa gharama hizi...
Waziri Kombo Ashiriki Mkutano wa Tisa wa Bahari ya Hindi Mauritius
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki Mkutano wa Tisa wa Bahari ya...
Katika nchi yetu, hoja inayotolewa na Askofu Bagonza kuhusu sekta binafsi ni ukweli ambao baadhi ya viongozi bado hawapo tayari kuupokea. Kumekuwa na mtazamo kuwa mwajiri mkuu na pengine wa...
On 10th April, 2026 Hon. Amb. Mahmoud Thabit Kombo (MP), the Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation of the United Republic of Tanzania met with Hon. Alvin Botes, Deputy Minister...
Ni wazi ameweka ukweli kwa umma wa Watanzania kuwa uongozi uliopo sasa hivi haupo kulinda rasilimali za umma.
Wizi upigaji na mtandao wa wanaCCM wezi wa mali za umma ndio waliopo madarakani...
Naona mmewachoka na mnawachukia sana.
Mnakaa vijiweni na kuomba walipuliwe kama Ayatollah na jopo lake alivyouwawa.
Hii ni sababu ya nini?
Cake ya taifa?
Bishop George John ameongea hayo katika mkutano uliowakutanisha viongozi wa dini na kutoa onyo kwa watu wanaaomba Rais afe kwani kitu kama hicho hakiwezi kutokea, na badala yake watakufa wao.
Nimekuwa nikufuatilia mambo ya nchi yetu kabla ya uchaguzi na baada ya uchafuzi. Pamoja na matokeo ya huo uchafuzi na yanayo endelea Hadi sasa. Sasa kwenye hii tume haram, kuna watu walitenda KAZI...
Nipo hapa Dodoma, Wakuu takribani wote wa Mikoa tupo nao mitaani tunakutana Bungeni tu, nilipowauliza wanafanya nini wametujulisha kuwa walikuja hapa zaidi ya wiki tatu zilizopita kwa ajili ya...
Kwako mh Rais wangu na IGP wetu na DC Magoti je ujambazi umeanza tena kwa mfumo wa ndani ya jeshi la polisi?
Jana saa nne na nusu za usiku hapa makurunge kiluvya kisarawe kumetokea tukio la...
Serikali, Wizara ya Maji shida nini? Kuna mgao bado tena mgao mkali Kimara na viunga vyake, wamewakosa nini wale walipa kodi? Tulimwona Waziri wa maji kaenda China kujifunza vipi haijamsaidia...
Kila nikikumbuka hii kitu huwa inaniuma sana
Hili tukio najitahidi kulisahau nashindwa
Ile siku ya tarehe 29 usiku wake kuna dada mmoja alishikwa na uchungu ikahitajika awahishwe hosptalini...
Wakuu,
Askofu kalambishwa asali :Alien:
"Kwa wale wote wanaotamka mabaya juu ya Rais, sikia: Hakuna neno lolote kwenye Biblia linalosema unaweza kumtamkia Rais neno lolote, wala kumlaani kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.