Mapinduzi ya Zanzibar yako hatarini.. Wazanzibari wamelala... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapinduzi ya Zanzibar yako hatarini.. Wazanzibari wamelala...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jun 20, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Watakapoamka watakuja counter revolution will be complete. Watch carefully, as long as there is the union the revolution of January 12, 1964 will be defended. Outside the union the revolution will be at its weakest and THERE WILL BE a counter revolution. As long as the people of Zanzibar will not defend their own revolution which toppled the monarch and the puppet government against counter-revolution elements their own future is at stake and the gains of the revolution will be abandoned.

  It is for this reason, sisi watu wa bara tumechoka kulinda mapinduzi ambayo Wazanzibari wenyewe hawataki kuyalinda; hatutaki Muungano na vyombo vya Muungano viendelee kulinda mapinduzi wakati serikali ya "Mapinduzi" ya Zanzibar ikifikiria na kutoa hata baraka za kubadili jina lake! Hatutaki polisi na JWTZ la Muungano lilinde mapinduzi ambayo halikuyafanya! Wazanzibar walibnde mapinduzi yao nje ya Muungano!!!

  Let Zanzibar Go!!!

  a. Serikali ya Zanzibar ilete mswada wa kupiga kura ya maoni ili wananchi wa Zanzibar waamue kutoka kwenye Muungano
  b. Waweke threshold ya asilimia 80 ya Wazanzibar watakaokubali kutoka basi Zanzibar itatoka kwenye Muungano ASAP
  c. Serikali ya Muungano ijiandae kuondoa vyombo vyake Zanzibar na kufanya mpango wa mpito ili nchi ya Zanzibar iweze kujitegemea na kujiendesha.
   
 2. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,682
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Ya leo kali ndugu yangu ....:wink2:
   
 3. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Mzee wangu upo mbali na matukio, wazanzibar hawana shida na hayo so called mapinduzi daima.

  Hoja ya leo Baraza la wawakilishi, iliyoanzishwa na JUSSA, ni kuhusu kurudishwa Jamuhuri ya watu wa zanzibar na kufuta neno serikali ya mapinduzi ya zanzibar.
  Waziri wa sheria ameeleza very clear, kuwa jina hilo linaweza kurudishwa tena bila zengwe, na hakuna mwakilishi aliyebisha wala kunung'unika. hii ina maana gani?
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  halafu

   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu kibaya kinachotusumbua waafrika kama kutotaka kufikiri kwa kutumia vichwa vyetu. Muungano ndio unaolinda yale mapinduzi...wenye hela na nguvu wataichukua nchi yao the moment muungano utakapoondoka. Ila kama kawaida, aliye na masikio na asikie...maana tunaona fahari kulumbana bila kuleta hoja....as if maneno yamewahi kutengeneza bomu kama la nyuklia.
   
 6. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  let Zanzibar go wajameni aagh!
   
 7. T

  Topical JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  The old fashioned slogan (mostly used by church mission fanatics) especially nyerere follows;

  1. kuwatisha wazenj eti bila muungano watapigana ebo..mnachosha kwa unafiki

  2. Eti sultani atarudi ikiwa muungano utafika kikomo ebo.. mnachosha kwa unafiki na ujinga..

  3. Eti wazanzibar wamelala mapinduzi yako hatarini ebo..mapinduzi walikuwa na faida gani?? hakuna anayesema ..mnachosha kwa unafiki na uadui wenu kwa wazenj..mna nini nyie??

  Mwanakijiji, nyerereism camp, catholics camps..mnachosha kwa chuki zenu kwa wazenj
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Tangu mwanzo niliuliza wanataka Zanzibar huru wanataka "Uhuru wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) au wanataka uhuru wa Jamhuri ya Zanzibar?
   
 9. T

  Topical JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mapinduzi yanalindwa kwasababu gani?

  Muungano (Tanganyika) ndio ulileta mapinduzi??

  Kumbe ndio maana wazenj hawataki hayo mapinduzi ya kulindwa na watu wengine zaidi ya wao wenyewe..
   
 10. T

  Topical JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wanataka zote kwa pamoja
   
 11. B

  Bob G JF Bronze Member

  #11
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mlipo wapa wapemba waongoze kisiwa mlitegemea nini? Cuf anaonyesha makucha yake ambayo miaka yote aliyaficha ya Ubinafsi uliompatia mwenza wake ccm ili kisiwa cha unguja kisitawalike, Mwendawazimu amekabidhiwa RUNGU tegemea kilio
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Tatizo zinapingana, na hapo ndipo kutafungua ukurasa mwingine.
   
 13. S

  Same ORG JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nyinyi wachangiaji wa bara kwa kweli zanzibar yenyewe hamuijui mnaisoma tu ya 64, zanzibar hakukuwa na mapinduzi zilikua ni fitna tu za nyerere kutaka kuufuta uislamu kama alivomuondoa idd amini. walikodiwa watu kwenda kufanya mapinduzi wakati watu walikua wametulia.
   
 14. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Lazima myalinde maana nyie ndio mliopindua! .
   
 15. TajiriMutoto

  TajiriMutoto Member

  #15
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Naona unapima upepo kama kawaida yako.
   
 16. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Kaka nisaidie, hao wazenj ni watu gani?
   
 17. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,896
  Likes Received: 2,314
  Trophy Points: 280
  MKJJ, honestly do you really care?
  Most Tanganyikans are beyond caring for these people, we've carried their bags for much too long!
   
 18. T

  Topical JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hayo ni Majina tu..hakuna kinachopingana katika hilo...issue ni utawala kamili kwa wananchi wa Zanzibar..na nchi yao
   
 19. T

  Topical JF-Expert Member

  #19
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wazanzibar
   
 20. T

  Topical JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Really? mwanakijiji and his fellows (st. nyerere follows) wana mission to accomplish in Zanzibar

  Ndio maana yeye, karugendo (padre) and the like....wanaandika kwa majina tofauti tofauti ili kuwatisha wazanzibar..their argument centred on three PATHETIC issues

  a. eti wazanzibar wataua bila muungano ebo? b. eti sultani atarudi bila muungano ebo?? c. eti mapinduzi yanataka kupinduliwa?? bila kutaja nani alipindua in the first place?? (assuming ni wazanzibar si waache walinde??)

  Waislam wa Tanganyika tunaombwa wazanzibar Allah awajaalie na kuwafanyia wepesi wapate nchi yao..

  Wakristo wa Tanganyika wanan'angania Zanzibar sijui kwanini??
   
Loading...