Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Jamani msiwe mnampa mwenzenu sifa za kinafiki na kujipendekeza,mnamdanganya ,na yeye kwakuwa bichwa maji wala hashtuki, eti anaustahimilivu, ujasiri na ushupavu ptuuu!! Ptuuu! Ptu! Hizo sifa zina...
2 Reactions
Replies
Views
Siku moja baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kinondoni kuwakamata raia wawili wa China wakiwa na fedha zinazoaminika kuwa ni haramu katika operesheni maalum...
5 Reactions
31 Replies
817 Views
Wanabodi Kitendo cha Tanzania kuzima internet kwa siku 5 mfululizo toka siku ya uchaguzi mkuu, kimepelekea Tanzania kubalaswa kimataifa, kuwa uzimaji huo wa internet sio tuu ni ukiukwaji wa haki...
7 Reactions
41 Replies
1K Views
Wana Mungu jf ,amani ya Bwana ikawe juu yenu. Nyie mliopata viti kwa hila , sio mda wa kuleta drama ambazo hazina msingi, bila kujali wewe ni nani utakufa kwa mateso makubwa sana , leo ati mtu...
6 Reactions
10 Replies
479 Views
Unajiuliza hawa machawa huku mitaondaoni ni akinq nani kumbe ndio wale walio andamana basi unawadharau sana hao watu. Kila mmoja anajua kuwa wao ni njaa wameokotwa okotwa huko ila wenyewe wapo...
0 Reactions
3 Replies
139 Views
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame(CCM) amesema kuwa waliofanya mauaji, kuvamia vituo vya polisi, maduka na kuchoma mali ni watu waliokuwa na silaha ambao mpaka sasa...
5 Reactions
28 Replies
964 Views
Utendaji wa sasa wa wafanyakazi wa Tanesco katika kushughulikia dharura za umeme zinapotokea, kwa kweli zinatufurahisha wateja kwani ni za haraka na za ufanisi mno.Sijajaua nani aliyeleta mwamko...
3 Reactions
4 Replies
292 Views
Huyu ni mchambuzi kutoka Afrika Kusini aliyekuwepo nchini baada ya “uchaguzi” wa Oktoba 29, 2025. Kwenye hii video anatoa maoni na uchambuzi wake juu ya kile kilichotokea na kile ambacho anahisi...
34 Reactions
78 Replies
2K Views
Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Wiki 2 zilizopita nilipigiwa simu kutoka Kata ya Shangani, Halmashauli ya Manispaa Mtwara. Aliyenipigia simu alijitambulisha kwa jina la Faudhia Napome, ni mdada...
6 Reactions
7 Replies
409 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimtambulisha Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh, wakati wa uzinduzi wa Hoteli ya Jaz Elite Aurora...
0 Reactions
18 Replies
948 Views
Hakuna ubishi. Samia Suluhu Hassan ni mmojawapo wa watawala wanaochukiwa ndani ya nje. Japo anao machawa wake wanaomtetea na kuwaona wanaomchukia kama wasaliti na wenye makosa kwa sababu wazijuazo...
4 Reactions
8 Replies
226 Views
Samia amewekwa na wananchi? Ibara ya 8 ya katiba ya JMT inawapa wananchi mamlaka ya kuweka watWala. Rais Samia alishakataliwa na Wananchi. Yupo madarakani kwa nguvu za jeshi na polisi.
1 Reactions
0 Replies
107 Views
Wapo wanaodhani Kanisa ni jengo tu. Historia inasema vinginevyo. Kanisa Katoliki si chama cha siasa, lakini likiguswa vibaya, huamsha nguvu ya wananchi kuliko risasi. Hebu tuangalie mifano ni...
12 Reactions
28 Replies
916 Views
Yohana Mbatizaji alisisitiza na kuhubiri juu ya Toba. Akawahimiza wayahudi kumsubiri mesiah Yaani Yesu. Kubwa kuluko yote alipinga maovu ya watawala na kuwaeleza ukweli juu ya uovu wao...
0 Reactions
3 Replies
129 Views
https://youtu.be/vnNAjzF05cY?si=5A3MnmDOll83sAOB Kumekucha.. Hukumu ya kumwaga damu ya raia wasio na hatia zaidi ya 10,000 kwa siku zisizozidi 4 tu (29/10 - 3/11/2025) iliyofanywa na Samia na...
48 Reactions
185 Replies
5K Views
Jamani hongereni na majukumu ya kifamilia. Nauliza tu, hivi tangu kuzaliwa kwa chama CCM kimetengeneza au kuzalisha maditekta wangapi mpaka sasa? Siku za usoni namwoona Daudi Bashite ataongeza...
0 Reactions
4 Replies
122 Views
Upinzani Tanzania ulale pema peponi. Hakuna tena matumaini ya kufufuka. Alisikika kiongozi wao akiomba jumuia za Kimataifa kuongoza nchi kwa serikali mseto ila CCM wasiwepo kwenye huo mseto...
0 Reactions
26 Replies
437 Views
Google map wamekwisha update Picha zao za satellites Hizi ni picha mbili za eneo moja ndani ya miezi kadhaa, Picha ya upande wa kushoto ni ramani mpya. Hili eneo la chini ni eneo katika msitu wa...
9 Reactions
55 Replies
2K Views
10 January 2026 MAZITO YAFAFANULIWA https://m.youtube.com/watch?v=sVw34Jl61eg Advocate Gaston Shundo Garubindi anajibu masuala mbalimbali ktk interview exclusive na Jambo TV yanayogusia ikiwemo...
4 Reactions
5 Replies
419 Views
Kwa nini ionekane ni kosa kwa Kanisa kukemea mauaji? Kwani nini
2 Reactions
3 Replies
271 Views
Back
Top Bottom