Jana analejelo kuwa kilichowapata kaka zao na dada zao hawawezi kuthubutu kuandamana. Na mijitu mitanganyika inapiga makofi.
Mnajenga visasi, mtafikiwa vizazi vyenu hata kama hampo! Watu...
Bakari Machumu - Mkurugenzi Mtendaji Mwanachi Communication Limited
Bakari kwa muda mrefu amekuwa mtu wa watu, mwenye kuielewa tasnia ya habari na zaidi ni kiongozi ambaye ana haiba ya uongozi...
Nimekaa nikajiuliza nini kitatokea watu wakaanza kujiundia na kupeperusha bendera ya Tanganyika Nchi nzima.
CCM itawakamata, itazishusha na kuzichoma?
Kitu cha kustaajabisha sijawahi kuiona...
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amepokea Makamishna wa Tume ya Rais iliyopewa dhamana ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, mwaka jana...
Patrobas Katambi naibu waziri na mbunge wa Shinyanga Mjini amejikuta hivi karibuni katika aibu kubwa baada ya kuitisha mkutano wa hadhara na watu kutotokea.
Katambi ambaye inafahamika aliingia...
Kuna chaka ambalo linataka kutumika katika maridhiano la kumuahidi Umakamu wa Rais au Uwaziri Mkuu Tundu Lissu kama sehemu ya kumpoza na kurudisha imani ya Jumuiya ya Kimataifa ambayo kwa kika...
Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito.
Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja...
WANU HAFIDH AMEIR MGOMBEA SAHIHI JIMBO LA MAKUNDUCHI, ZANZIBAR
Wananchi wa Jimbo la Makunduchi lililopo Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar wameonyesha kufurahishwa kumpata Mhe. Wanu...
Wana JF,
MUNGU alipomuumba Mwanadam alimpatia uwezo wa kufikiri na uelewakwa kadri apendavyo. Ni nadra sana kwa wanafunzi ama watu wawili kuwa na uelewaulio sawa. Aghalabu hoja moja inaweza...
Nakubaliana na Mbunge wangu aliyemaliza muda wake. Huyu jamaa huwa hajui kuuma uma maneno. Nina wasiwasi pia si mtu wa Pwani. Nakubaliana naye Serikali ingejaribu kufungia msikiti mmoja tu...
Embu tuacheni ushabiki tuuseme ukweli
Mtukufu anashindaje tuzo hii kwa kuwashinda Netanyahu waziri mkuu wa Israel kama sio wizi kama kulivyofanyika kwenye uchaguzi?
Trump, Rais wa Marekani...
Na Mwandishi Wetu
NAIBU Waziri wa Kilimo David Silinde (Mb), ameeleza kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa miradi mitatu mikubwa ya Umwagiliaji ikiwemo ujenzi wa Bwawa la Nyida lililopo mkoani...
Ushindi wa kushindo wa kiongozi muuwaji duniani kuna tupa picha juu ya ulaghai wake na kwamba yeye si rais amejipachika madaraka kwa kuuwa.
Mawe yatapiga kelele amewekwa madarakani kwa mapenzi ya...
D.Trump (USA)- wafungwa wa kisiasa waliofungwa na communist maduro wameanza kuachiwa, thanks to D.Trump, ni swala la muda tu hata akina Tundu Lisu watafikiwa, tusife moyo to fight evil ...
" Tundu Lissu hajakamatwa kisheria, amekamatwa kinyume cha sheria, ameshatgakiwa kinyume cha sheria na mashataka yake yapo kinyume cha sheria. Lazima tujifunze kukataa tutazoesha watu wanakukamata...
Samia anaendelea kuweka rekodi Duniani.
Katika shindano la kuwashindanisha marais wote Duniani iikumpata Rais Katili na mgandamizaji zaidi Duniani, kuliko mwingine yeyote, Samia ameibuka Kidedea...
1. Vurugu Kubwa na Mauaji Yasiyo ya Kisheria
Mnamo Oktoba 29-31, baada ya wagombea wa upinzani kuondolewa katika uchaguzi, vurugu za kisiasa ziliibuka katika miji ya Mwanza, Dar es Salaam na...
Kila nikimsikiliza akiwa jukwaani nakuja kufahamu kwamba Waziri Mkuu anahutubia kwa mipasho mikali sana huku akiwajibu CHADEMA, ni kama vile haelewi madai ya CHADEMA au anafanya makusudi. Kama...
Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza namna mawakili wananyanyaswa na vyombo vya dola wakati wanajitoa bure...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.