BBC LAWAMANI

BBC LAWAMANI

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,647
Reaction score
12,999
Dkt. Marandi wa Iran alisema "BBC ni mbaya sana, mbaya sana."

Mmoja wa waandishi wao wa habari alidai Wairani wanataka silaha za nyuklia zitumike dhidi yao.
 
Itakuwa umesoma Sunday school
Kwa ulivyo andika, bora watu wasome tu hiyo Sunday school

Kama kuandika kwako wewe una PhD! Hiyo PhD yako inaujinga mwingi

Nakubaliana na mawazo yako na mimi naongezea ushauri tu kuwa, watu wakasome tu huko Sunday school ni mara elfu zaidi kuliko kuwa mfano wako

Ki ukweli, hujaeleweka mkuu
 
Huyu kibwengo akishiba mchemsho wa nguruwe anajiona bonge la mjanja.
 
Back
Top Bottom