Heche: Bila teknolojia tusingesikika kokote kule

Heche: Bila teknolojia tusingesikika kokote kule

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
621
Reaction score
1,936
Akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari leo baada ya kuondolewa zuio la kutofanya siasa, Aprili 15, 2026 amesema kuwa Bila Teknolojia tusingesikika kokote kule, tunashukuru Teknolojia ilitufanya tuendelee kusikika maana tulikuwa tunajirekodi na kurusha mitandaoni. Nguvu ya Teknolojia ni kubwa kwani ukiweka kitu baada ya muda mfupi hufikia maelfu na ndio kitu tulikuwa tunafanya kuendelea kusikika.

Dunia ya sasa huwezi kuuficha ukweli, ndio maana huwa nawaasa hata waandishi wa habari kuwa dunia ya sasa huwezi kudanganya sababu ukiweka kitu mtandaoni ndani ya muda mfupi kipo kila mahali.

Pia soma

 
Back
Top Bottom